@islamicswahilinet: KISA CHA KIJANA ALIYEBADILISHA NA JIRANI YAKE KUPITIA WEMA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 11:18:15 GMT
14182
2131
12
49

Music

Download

Comments

manmsong
big man :
wewe unae soma comment hii Allah akujaalie maisha malefu
2026-10-19 11:51:38
15
seewt9670
Safia :
ALLAH. AKBAR
2026-10-19 13:02:08
3
ommyrafii
Mdogo ommyjr26🤟 :
mashallah 👏👏🙏
2026-10-19 12:33:32
1
abubakarimuhamed5
bakari :
ameeeeeeen ameeeen
2026-10-19 18:54:47
0
abdulk620
klk furniture :
allahu akbar
2026-10-19 12:18:33
0
hismaele5
hismaele :
🥰🥰🥰🤣
2026-10-19 11:40:05
1
rufo41753
Rufo :
😂😂😂
2026-10-19 13:16:38
2
fauzh80
fauzh :
🥰🥰🥰
2026-10-19 13:44:03
1
shaaban3947
shaaban :
😳😳😳
2026-10-19 17:14:05
1
mohazzardjr
Ibn-ismael :
💕💕💕
2026-10-19 16:27:47
2
salum.majaliwa.ma
Salum majaliwa Manaka :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-19 18:31:47
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About