ATC 🙌🙌🙌🙌😅😅😅 Mmevimbirwa amnieee[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 11:06:11
0
JACKIE SIMBA :
daaah nachoka mm
2026-10-20 10:14:47
0
vee_nicedollah :
ila first year jmn 😂😂😂
2026-10-20 10:59:30
0
Mom❤️ :
Mimi kusema ukwwr sipendi mnavyowarekodi mnafikir kuna mtu hapendi kuwa na bag zuri 😭😭😭😭😭😭
2026-10-20 03:36:41
104
ceciliasimonda :
jaman msifsnye hivyo wanajisikia vibaya kwan na wao hawajapenda iwe hivyo na pia tunazidiana uwezo please achen
2026-10-20 04:38:26
47
witnessfashion7 Moshi Rau :
Katika kitu kinaumiza ni bullying 😭😭 huwez kuelewa kama maisha ya kwenu ni safi jitahid kuheshimu maisha ya watu
2026-10-20 08:46:30
32
Joe_😎_zacks /@lastborn :
Shangazi kaj
2026-10-20 07:51:46
0
👔✨the🎯golden🏀vany💫☠️ :
bhn me nacheka mtajua wenyew😂
2026-10-20 06:40:59
2
Smit da deverboy :
onger san brou kwa kuw we unaona maisha umeyamaliza
2026-10-20 09:52:43
8
🦋♓ سانورات :
ila bnadamu mnvyofany sio vzur nmjisikia vby kwa kwel
2026-10-20 06:01:07
6
idolize :
guys we are not in same condition but may God bless him
2026-10-20 10:47:41
4
P0pZy🙏 :
duuh bola nipande boda😂😂
2026-10-20 07:05:05
5
d model🎈💝 :
kwamba wote wana uwezo jmn kila mtu anaishi kutokana na status ya maisha yake ni bora kuliko kufake ila watu ukute anaecheka ana boksa mbili ndani hana lolote
2026-10-20 06:52:27
13
HIGHLIGHT SCHOOL :
tunapenda kuoshi really life na sio kujiect na kujifananisha na wengine KWETU SIO SAFI😭😭😭
2026-10-20 03:18:43
11
kidheavyduty🦅🇨🇩 :
technical
2026-10-20 09:18:14
1
Hamara~🫧❤️ :
Hakuna mtu anapenda kuzaraulika natak Kesh niende kuchekwa Na watu wengne😞kun watu wana maisha duni san daaah imagine mzazi wa huyu anaedharirika au huyu mwenyew akajion wallah atajiskia vbay plzzzz jamn achen kuwafanyia hv😭sio vzuri
2026-10-20 08:05:04
6
saidi aina :
mungu anakuona camera man
2026-10-20 07:46:57
0
Baz..yah💋 :
😂😂😂 nachoka Mimi
2026-10-20 07:25:25
0
#Ginji#53%93 :
Sema jamaa ajafake life kafanya kwa sehemu yake
Mungu ambariki for new chapter.
2026-10-20 10:47:23
4
benjaminkbh :
chuo gn
2026-10-19 22:08:11
1
🫧🦋BLACK LUNII✨🫧🦋 :
Yani mpk naogopa kuripoti yani😫😫maana nina roba la shangazi kaja kubwa ilo htr😂😂🙌🏽
2026-10-20 07:09:31
0
Gloria mwengah :
Mnafanya wengine waogope kureport chuo jaman 😥😥
2026-10-20 04:59:00
1
To see more videos from user @mamencarrasco4, please go to the Tikwm
homepage.