@mwenye.nchi: Hii nchi ina hela na tajiri, ubaya hela zenyewe zipo chini ya mikono ya wanyang'anyi, vilaza, wezi, matapeli, hapo ni mwendo wa kufinywa tu
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Region: TZ
Monday 19 October 2026 11:29:31 GMT
Music
Download
Comments
jullyjohn435 :
waoooh rais wetu hoyeeee yuko kimya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 06:22:58
0
chihuku :
bajeti kubwa mpaka El Nino imegoma kuja
2026-10-20 04:33:05
53
ali mvungi :
uzuri elnino imesogezwa mbele
2026-10-20 04:46:00
19
@ call me. .d💥🥑🥑🪰 :
ivi iyoo October ndo mwezi wangapi mbnaa uku kwetu imeshapitaa
2026-10-23 20:29:20
11
user8302885521398 :
Tunahitaji msaada wa Mungu mwenyewe ktk hii inchi
2026-10-20 06:55:35
15
Remy boy :
na walikuwa watumie elimino kama fursa sasa na yenyewe itawaaibisha
2026-10-19 21:29:14
12
Josephmodoks :
kweli tanzania nikichwa Cha mwenda wazim Kili kiongozi lazima apitie hapa
2026-10-26 02:01:16
1
user385637783042 :
Harafu tukisema samia hafaii wanajizima dadaa
2026-10-24 07:51:01
2
BSM :
😂😂😂😂😂😂my country
2026-10-21 21:21:25
2
💞mahmoud💞 :
hii nchi ipo kwenye safari naina kalibia kufika inapo enda tutajikuta tupo kweny msitu wa amazini tukaliwe tuu nawanyama maan sio kwakuuzwa huku😂😂
2026-10-24 20:14:12
0
Kelvin Khamis :
hakuna marefu yasiokuwa na ncha,oneday YES.
2026-10-21 08:48:41
4
Adam K :
😂😂😂😂😂😂😂
mi simo
2026-10-21 05:06:25
3
Jonathan Tumain :
watupe ata 2000@ labda itasidia
2026-10-19 13:31:54
1
B Z R [by USED TYRES] :
Et! Weee endelea 😅😅😅
2026-10-19 21:09:10
5
Mr jr :
INAUMIZA SANA
2026-10-24 15:53:15
1
Erasmus Mallya :
inchi ya mazingaubwe😂😂😂
2026-10-20 17:33:38
2
KAGUDZINICKO :
Nchi ya hivyo sanaa hii🤔🤔🤔
2026-10-21 08:26:32
1
lameck :
na ninawaza wangeuza tu nchi ili watakaoinunua ndio wapate hasara ikibebwa na mvua[Tears of joy]
2026-10-19 21:02:40
5
Caesari :
hata Elnino imeona aibu kuja
2026-10-20 11:59:06
3
@mr..Makacha :
mbn hizo n ndg
2026-10-21 07:07:20
1
Mpiga :
watu tunalipa kodi alafu unasikia hela tunazo toa tena kwa jasho zina tumika ivi na kuliwa na watu wachache kwakweli inaumiza 😭😭
2026-10-23 23:31:26
4
SmallDer-ryd :
ety uongo haitoshi Ata daraja moja hawa watu wanafki sana
2026-10-20 10:58:07
2
Amos Magige :
hapo kuna mambo ✌️
2026-10-20 06:44:47
2
Fumbozible :
Hii Nchi ngumu sana ,,
2026-10-24 07:09:55
1
Giantpoultryfarming :
Hii ni miujiza mpk Elnino imeogopa😂😂😂
2026-10-20 10:36:21
3
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.