Hii Group O inaninyoosha 💔 kweny namba tano hapo🙌🏾
2026-10-19 23:23:42
8
Stephen Clement :
tupo mi group 0+
2026-10-19 13:44:30
5
frolence :
hapo umenigusa mm kabsa
2026-10-20 00:57:17
3
Suzan Yusuph :
Hilo la Kwanzaa na yapili
2026-10-20 08:43:36
5
Eddo :
Shida inakuja pale ambapo umetokea familia duni na baadae unapata title kubwa. Inakupasa kwanza ujenge nyumbani kwa wazazi ili ata ukienda na mtu mpate pa kufikia. Vitu vingine inakulazimu tu ucheze kama mkombozi kwanza na Mungu atakuzidishia ata kama utachelewa kufanya mambo ya kwako lakini Mungu atazihesabu hatua zako
2026-10-19 20:11:00
2
Mercy :
Kosa la kwanza linanihusu lakini nalifanyia kazi ..yani njikuta tuu natamani kumsaidia kila mtu na sina uwezo mkubwa na mwisho qa siku ziro account 🥺
2026-10-20 07:04:06
3
carren cheps :
true[Heartwarming]
2026-10-19 20:40:33
2
procronius :
mbn mnasema ss matajili
2026-10-20 11:57:05
3
Minah O .L🥰 :
uko sahihi daa, Asante sana
2026-10-22 06:43:29
2
kiarie mec :
true
2026-10-19 20:53:28
2
Alyne :
Hilo la kwanza
2026-10-20 17:09:17
1
humble maragoli victor :
Yote yako nami
2026-10-19 15:53:18
2
Jameslee :
you are true madam
2026-10-19 13:45:44
3
bosslady ❤🚘 :
kweli ni mimi uyooo
2026-10-19 14:47:08
4
Mulinge Anne mutheu :
nipo
2026-10-19 20:53:13
1
juhud :
asante
2026-10-23 03:58:29
1
fatma :
najitahid niwe mcho ila sijui kwannn nashindwa
2026-10-22 05:27:44
1
Raysk Ray :
fean [Red heart][Pray]
2026-10-24 00:27:44
1
Nidgar Kideule :
Hakika
2026-10-19 20:40:32
2
1234 :
La kwanza😏
2026-10-20 02:59:13
1
EDUNYA🇨🇦🇦🇪♥️♥️♥️ :
true that mih ni hyo ya kwanza aki
2026-10-20 13:38:24
1
Big one :
Kusaidia ndg kwa asilimia kubwa lkn hawana msaada kwangu
2026-10-20 17:51:40
1
Gilton Roman Ke ⛰️🌎 :
sasa tufanyeje😩siezi ona ndugu analala njaa na niko na kitu kidogo, lazima nimsaidie
2026-10-20 17:57:36
1
To see more videos from user @ligh670, please go to the Tikwm
homepage.