@henrymwakajumba: Hauondoki na damu yangu🥺 #babaoliviaseason2 #mamaolivia #tiktok #fyp

Henry Mwakajumba
Henry Mwakajumba
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 11:51:31 GMT
102596
7137
111
56

Music

Download

Comments

jojoaguas96
JOJO 🤍 :
alooooooooo Kaondoka yeye tumbo linauma mm 😭😭😭😭
2026-10-19 21:24:24
0
ashurey.jg
Sayrah💫🦋Star✨🦋💕 :
iyo sauty ya mtoto imeniuma siwes kuacha .mtoto wang hata kama baba ake Hana pesa🥺
2026-10-19 15:05:55
37
mama.double.a79
mama double A :
nilishawahi kuwaacha watoto wangu wadogo nikashindwa kupanda gari na kuondoka nilikaa masaa 6 hatimae nikarudi inaumaa sanaa😭😭😭😭
2026-10-19 16:12:59
28
jumaaaqqi0v
jumaaaqqi0v :
inaitwaje hii mov
2026-10-19 17:17:56
1
naki_mimi
naki_mimi :
Sina mtt ila hyo saut ya mtt imeniumaaaa mweee🥺🥺
2026-10-19 15:35:22
7
user2387770518556
mamaboys :
Sitamani na wala sijawahi kufikiri kuacha watoto wangu eenh mola naomba uniepushie hili
2026-10-19 19:28:31
2
leepeter20
user5115712016667 :
nimeisubili kwa hamu @
2026-10-19 19:20:08
1
user801334042576
nyasima mtipa :
uvumilivu huko wa kumwacha mwanangu akilia Sina jaman acha niteseke na wanangu
2026-10-19 18:53:01
5
belinda00042
user7007053056912 :
muendelezo
2026-10-19 19:33:03
1
joyceamos212
joy's kitchen :
kitu ambacho sitaweza kufanya ni kuwaacha wanangu kwa Baba yao-
2026-10-19 17:33:22
4
stellaclement425
stellah clement :
hongera sana kaka kazi nzuri mnooo
2026-10-19 18:10:10
2
yvonnelyimo2
vonny😍🦋 :
daah iyo sauti ya mtoto imenitoa machozi
2026-10-19 19:46:12
1
bahaticharles218
official lucky :
yesu yesu yesu siwezi muacha mwanangu kamwe
2026-10-19 19:07:10
1
captainberon
Baba Damian :
my life 🙃
2026-10-19 18:03:57
1
shyshy.bby8
shyshy bby :
badala ya kujbu swali Moja kwenye comment ingekua Bora zaidi ukaandika Kwa maandahi makubwa jina movie kwenye caption
2026-10-19 18:20:46
1
user1162234381624
aneth rwiza :
siwez kumwacha mwanangu aisee
2026-10-19 18:13:57
1
nifa.furaha
melveen.PM😻 :
😂😂😂sema tuu ni movie
2026-10-19 17:01:41
0
user7557247008423
Florence :
muendelezo
2026-10-19 19:27:44
1
nancy.mbonea
Nancy mbonea :
inaumaaa sanaaaaa
2026-10-19 17:00:13
0
user17586687200696
official pacha_001 :
gabo kubwa la maadui nakubali sana kz zako🙏
2026-10-19 17:11:00
0
.mum.aron
SHE YA kITUl💞💞 :
I swear b4 God sitawai acha wanangu 😭
2026-10-19 18:18:35
2
precious.manka2
Precious manka :
Mimi naniteseke tu na wanangu lkn kuwaacha wakateseka mhhhh cwez
2026-10-19 18:17:48
1
shamsah19
Mum AsinaOmar :
mi siwezi Acha mtoto😢😢😢
2026-10-19 18:29:16
1
nurathkiuler
Nurath Kiuler kdt🌺 :
movie inaitwaje
2026-10-19 17:30:39
2
wardarajab6
Molly Big Moma 💕✨ :
akusikia hiyo sauti
2026-10-19 15:57:27
1
To see more videos from user @henrymwakajumba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About