@lovereh03: Replying to @Envyminarh_Scents🦋♥️ bora nirud utotoni tu 🥹😭

LOVEREH 💦🦋
LOVEREH 💦🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 11:52:00 GMT
66891
4583
629
166

Music

Download

Comments

violettelady.01
🌸VIOLETTE LADY🎀 :
mtu anaela ila akupi bora nibaki single 😅
2026-10-19 12:38:45
166
mtotowamama8
💍Da mwana🫂❤ :
wanawake uwaga atulii kwa sababu tumeachwa uwaga tunalia kwanin tunapotezewa muda kuludishwa nyuma yani daaah
2026-10-19 15:41:49
205
mimahabaya
MIMAH_ STYLE_ABAYA🛍️ :
Bora niendelee kunenepa tu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Gesture OK]
2026-10-19 15:04:13
1
mile.queen54
Mile Queen :
Nina nyege sana Leo hiii[Laugh approved][Tears of joy]
2026-10-19 16:46:06
0
amreezy4
Being reezy❤️🫂 :
@Being reezy❤️🫂: Ahahah wanakuliz had ww muremboooo hv
2026-10-19 12:00:39
0
niicole_050
NicoLe🫧 🦋 :
ss jaman wadada wazuri wanavyolia ivi mm ndo ntaachwa salama kweli jamani😭😭😭😭😂😂😂
2026-10-19 13:13:34
59
edimethdaniel
mamy cute :
nyie mnasema miaka 4 mm 13 na kaniacha sijui kaenda wapi ila [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] sitaki kuongea[Pray]
2026-10-19 19:59:20
0
mariamjuma896
Mariam :
me mapenz siy vit kabsa niliumizwa na mapenz mpka nikaokoka😁😁
2026-10-19 14:59:15
47
cute.asia692
Cute Siah🍒 :
Mim nimemvumilia kipindi analala chini sahv kajipata ana date na rafk angu😔💔
2026-10-19 13:54:02
26
itsleah311
Mrs Mahmoud❤️🔐✨️ :
Ujue haya maisha kila mtu atalia kwa wakati wake me nililiaaaaa😭😭😭😭😭 Saivi burudani😂😂😂😂😂
2026-10-19 14:12:36
19
user8394318380087
Rosemary❤️ :
kuna umri ukifika unagundua pesa ni bora kuliko ndoa😂😂
2026-10-19 15:48:45
14
candylolymonroe
Fat’hiya❤️ :
Nkiona watu wanadate nacheka sana😅😅😅
2026-10-19 12:28:30
23
sek2482
myself ❣️ :
bora nyie miaka 4 mimi miaka 6 na nikaachwa Kazaa na mtu mwingine
2026-10-19 13:39:13
18
lily.sabela7
𝖑𝖎𝖑𝖞❤🔐 :
𝗹𝗶𝗮 𝗵𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗲𝗻𝗲𝘁𝘂 𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗻𝗶𝗿𝘂𝗱𝗶 𝘄𝗵𝗮𝘁𝘀𝗽 𝗻𝗶𝗸𝗮𝗽𝗼𝘀𝘁 𝗺𝗲𝗺𝗲𝘀
2026-10-19 15:56:05
10
mamdogo02
Mamdogo :
Mmh wazuri mnalizwa hivi na sisi vitunguu maji itakuwaje jaman😔😔
2026-10-19 17:43:02
6
preatynation
PREATY NATION ♥️🫂😩 :
Cna cha kuongea nasoma t comment 😭💔🙌
2026-10-19 16:47:59
1
betinajuma391
betina 💕💕💕🤟 :
najuwa haiwahusu lakin me saivi sihangaiki na mtoto wa mtu acha nitafute pesa kwanza maana nyumban nategemewa
2026-10-19 19:04:48
5
dearna544
🌺Miss Dee🌺 :
me wamefunga ndoa kbs nipo hapa na mimba yangu sielew ht cha kufanya yasikie tu kwa mwenzio💔💔😭😭
2026-10-19 15:04:45
8
missboss2025
Regy home & collection✨️❤️ :
Kwann udate na mtu mwaka ata miaka miwili nn kwan mnachunguzana hcho me miez 6 sion future najitoa 😳😳😂😂
2026-10-19 15:45:40
6
nurath423
💗❤️nurath💋💋 :
Mm kaoa juzi 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹
2026-10-19 13:05:59
22
itsmary403
-Mary🧚🏻‍♀️🫧 :
Si wengn hatukuumbwa kupendwa wallah😭💔nina ushuhuda pia😩
2026-10-19 12:53:20
29
shaley665
shaley66 :
usilie bhna ogaa uingie mjini
2026-10-19 13:33:35
8
iamtau1
Royalty tau 😍🔐 :
Kun siku nililia mpka nikaenda kwa mchungajii kumwambia siko saw aseee mapenzi 😳
2026-10-19 17:48:13
0
batuly514
Ms.batuly💕 :
bora yako yaan mm aliniowa kabisaa ila akaja kurudiana na ex wake na akampa mimba huku yupo na mm jamn nilihisi dunia imefika mwisho😭😭
2026-10-19 15:53:23
1
angelarbat0
first born🍒 :
niongee kwa kukaa au kwa kusimama😂😂😂
2026-10-19 13:30:11
2
To see more videos from user @lovereh03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About