@mweusimediatv:

MWEUSI MEDIA
MWEUSI MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 12:00:39 GMT
126270
7345
349
652

Music

Download

Comments

leah.mussa8
nahia💕🌹🌹 :
mwanamke anaakili sana huy kama mimi tuy nilimtongoz baba mkwe
2026-10-19 19:59:19
49
b_erly255
Mss.Irene🌹 :
Namtaka huyo mshangazi nimpe mume wangu😂😂😂
2026-10-20 06:00:28
84
marietha566
cute Etha❤️🦋 :
Anipe tu pesa angu nilioomba😂😂
2026-10-20 04:18:51
12
user2483775540234
vee💄 :
Mimi wakwangu hapati wenye ela anapata wachuna ngozi😂😂😂😂
2026-10-20 04:02:37
56
miss_rey01
Rahma Simba :
Hzo n story t
2026-10-20 04:11:28
1
user6386512
Mama naa :
mi utanipa tu pesa yanguu yoteee yakutoleaa utatoa wewe mume🥰
2026-10-19 17:11:15
35
mrs___muu
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
me ningedai hiy hela bila kusbr kuniulz yy😂😂😂
2026-10-20 03:24:13
11
ireenonesmo
irene :
mbna mm huy wangu apatii kma hao[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-19 19:18:52
24
merry.mnyawami
Merry Mnyawami :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 19:08:41
4
izma.faustino
𝓜𝓲𝓢𝓢 𝓲𝓩𝓶𝓪🫶 :
Baba lete hyo laki4 nyumbani Mwambie mshangazi tunampenda sana hatuwezi ishi bila yeye😂😂😂
2026-10-20 14:35:14
6
cathy.mcute
petite mcute 🖤🤍💜 :
sharp gal
2026-10-20 08:07:21
0
nahhumble4
nah56 :
kwenye husiano langu tunataka mshangazi😂😂😂
2026-10-20 04:11:25
6
gaitydegrin7
gaity de grin💖 :
adi nmecheka kwa nguvu😂😂
2026-10-19 19:05:42
8
kamongo137
nagma botiqe zanzibar :
anipe pesa yangu ndo muhim
2026-10-20 03:21:57
9
amourjohannes2
amour ☝️ :
Hapo amtumie mkewe kisha amwambie tu hiyo ya kwako,, enjoy mke wangu[Tears of joy]
2026-10-19 16:33:17
10
sannier202
sannier202 :
I like it😂😂😂😂
2026-10-20 06:20:31
0
zayana815
zayana815 :
Amwambie tu mke wake, maana anajua hiyo hela imetumwa. Ila wanaume hapana kumbe haya maisha tunatunza na wanawake wenzetu.
2026-10-19 12:32:43
6
salm161616
Salma_👩🏾‍🦱 :
Me ningemwambya ba mtu mpenzi wetu katuma hela umeiona😂
2026-10-20 07:22:16
5
zayana815
zayana815 :
Ila mshangaz ana roho nzuri sana, ni lazima atupe pesa na yeye sianapewa raha?
2026-10-19 12:33:55
15
asiamuuh
asiamuuh :
mpe pesa yake maana kaomba yeye
2026-10-19 19:33:13
6
asia.ahmadi34
Asia Ahmadi :
Jamani Natamani ningekuwa Mimi ningeomba Gali kwa mshangazi
2026-10-20 04:43:11
6
user3597160861956
mary :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣iyo hatar
2026-10-20 03:59:07
5
sharifa.juma62
sharifa nguo za watoto :
mimi ningemuliza mume wangu kunapesazangu zimeingia kwenye simu yako😁😁😁😂😂😂😂😂😂
2026-10-20 18:36:07
1
tinaahmartin929
Tinaah Martin :
me ningemwambie tuhamie kwa mshangazi tu maana anatupenda wote 😂
2026-10-20 11:19:49
4
naice.marandu7
naice marandu :
Pesa yangu Anipe tu maan sitoweza kuvumilia kabisa 😂😂
2026-10-20 06:02:26
5
To see more videos from user @mweusimediatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About