@sujuu_mkatoliki: TUKIO KATIKA VIDIEO PADRE AFARIKI DUNIA BAADA YA MSALABA KUMWANGUKIA WAKATI WA MISA ECUADOR Padre Patricio Alfredo Sánchez Molinari, mwenye umri wa miaka 53, ambaye alikuwa padre wa Shirika la Redemptorists, amefariki dunia nchini Ecuador baada ya ajali kutokea wakati akiadhimisha Misa Takatifu. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, msalaba uliokuwa nyuma ya madhabahu ulianguka na kumwangukia padre huyo akiwa anaendelea kuadhimisha Misa. Tukio hilo lilitokea Jumamosi, tarehe 17 Oktoba. Padre Patricio alikuwa paroko wa Kanisa la Nuestra Señora del Perpetuo Socorro. Jimbo Kuu Katoliki la Guayaquil, kupitia taarifa iliyosainiwa na Kardinali Luis Cabrera Herrera, lilitoa pole kwa kifo hicho na kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya padre huyo. Pia lilitoa mshikamano kwa Shirika la Redemptorists, familia na marafiki wa marehemu. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMNZIKE KWA AMANI AMINA #catholic #viwawa_haliya_hewa2021 #viwawahaliyahewaonline_media #catholictiktok #viwawa
Sujuu Mkatoliki ⛪
Region: TZ
Monday 19 October 2026 12:04:49 GMT
Music
Download
Comments
Tina :
ndiomana naogopa kwenda kanisan
2026-10-21 09:39:41
1
Abrah Massawe :
nimecheka mungu anisamehe🤣
2026-10-19 15:43:25
27
lucy love :
kwenye akili yangu kuna maswali haya ✌️
2026-10-19 15:43:51
10
MISS GREEN🦅✨️ :
hapa watakuwa walipanga mpango mbn tumesali sana roma ila misalaba huwa iko strong🤔
2026-10-19 15:22:20
41
mr timmy :
ila alikaa sehem poa san
2026-10-19 15:35:40
11
@haji.haidary :
kwahyo mfano kama tunajadili tuseme huyo moja kwa moja wap🤔🤔
2026-10-19 15:01:21
14
Fine boy 🕹️🌊 :
Kumtetea alie kuw anarecod ni kazi 🥺
2026-10-19 15:48:02
33
Rosey :
yesu kaua
2026-10-21 12:29:35
1
Getruda Martin :
Wangapi wamejikuta wanacheka😂😂 Mungu anisamehe
2026-10-19 15:54:11
9
gwagon051 :
Usikute alikuwa anasema uongo
2026-10-19 16:28:57
3
MNANDI BOY :
Rabda alikuwaa kinyume na Mungu
2026-10-19 15:08:03
5
JAMAL _ SAKWA 🥷 :
wamemkasirishaa nini yesu jaman
2026-10-19 16:20:32
3
khayrat mamii🥰 :
😂😂😂😂kila mtu atabeba msalaba wake
2026-10-19 16:04:19
2
fatmah🥰 :
nimecheka mungu nisamehe😂😂😂😂😂
2026-10-21 12:11:01
1
tanzaniangirl4🇹🇿 :
Icho kisauti jmn me nimecheka bhana 🤣🤣🤣
2026-10-19 16:13:35
0
EYOOBIG💫 :
YESU KAUWA
2026-10-19 16:51:26
0
KhadijaIrene :
ekwado anakokusemaga anko t
2026-10-19 16:38:56
1
Glory Joseph :
Mungu ameuwa 🥺🥺
2026-10-19 15:49:46
3
☠️IXMO☠️ :
HAPO KUNA MAMBO HAYA ✌️
2026-10-19 14:29:42
6
cee❤️❤️❤️ :
apa kuna ujumbe mzito
2026-10-19 16:31:05
1
daughter 💞 :
mmmh😭
2026-10-19 15:31:25
1
admin :
nilete elnino au niache😂😂
2026-10-19 16:29:22
1
D Toxy :
mungu kaondoka na roho ya mtu
2026-10-19 16:20:15
1
cassper255 :
2026-10-19 15:34:45
3
To see more videos from user @sujuu_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.