Masha Allah! ❤️🤲 Tunampenda na kumheshimu sana Sheikh huyu kwa elimu yake, hekima yake na namna anavyowasilisha mawaidha yake kwa heshima na utulivu. Allah azidi kumjaalia hekima, elimu yenye manufaa na baraka katika maisha yake. 🤲🕌 Jambo linalovutia zaidi ni kwamba hana tabia ya matusi wala kejeli ambazo zimezoeleka kwa baadhi ya watu wanaojiita maustadh siku hizi. Anatumia elimu, busara na adabu kufikisha ujumbe wake kwa watu. Allah amlinde, amuongezee nuru ya elimu na amfanye kuwa sababu ya kuongoza wengi katika njia ya haki. Aamiin Ya Rabb! ❤️🤲📿
2026-10-19 14:48:40
18
Aburaslaan :
assalam alaikum warahmatullah. kulingana na hii hadith naomba ufahamu kuhusu hapa kwa kusalimia walio pembezoni mwako baarakallahu fykum
2026-10-20 04:09:46
0
Saadasaid :
Shukran Ustadh for all the knowledge nimefaidaka: Allah bless you: Allahu Barik
2026-10-19 17:58:54
5
Ramadhwan Mussa :
shukran sana mwalim wangu, kwa Faida tele
2026-10-21 03:36:36
0
Naughty Sibling :
ما شاء الله تبارك الله..
جزاك الله خير الجزء..
وأحسن الله إليك.
نحبك في الله يا دكتور
كل الحب من سلطنة عمان 🇴🇲
2026-10-20 09:43:50
0
💥 Al-hambally 💥 :
Mashaallah baaraka Allah fiikum
2026-10-20 10:37:20
0
chibu :
Allah akulipe neema nying sana .....maana kalib asilimia 90 waislamu ndo Salam zetu
2026-10-20 11:24:15
0
Dalali Muaminifu :
👏👏👏
2026-10-19 17:37:03
0
RAMS :
🥰🥰🥰
2026-10-20 17:25:39
0
To see more videos from user @fawaed.dr.islam.salim, please go to the Tikwm
homepage.