@mtumweusi26: Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba mahakama kuvunja ndoa akimtuhumu mumewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binamu yake pamoja na mwanamke mwingine. Amedai pia kuwa mwanamke aliyetajwa kwa jina la Patricia, anayedaiwa kuwa mpenzi wa mumewe, alikuwa akimpigia simu mara kwa mara na kumtishia kumuua. Kwa upande wake, Trevor, amedai kuwa mkewe hupata majimaji mengi wakati wa tendo la ndoa hata kabla hajamgusa, jambo lililomfanya kumshuku kuwa anamsaliti. Pia amedai kuwa mkewe alianza kwenda vilabuni baada ya kupata kazi mwaka 2024 na baadaye kukiri kuwa na mwanaume mwingine aliyekuwa akipata fedha nyingi kuliko yeye. Hivyo, Hakimu Charity Milambo amesema wanandoa hao hawaonyeshi thamani ya ndoa na kuamua kuvunja ndoa hiyo. Mahakama pia imemuaru Trevor kulipa kwacha 500 za Zambia (takribani elfu 60 za Kitanzania) kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto, kuanzia Oktoba 2026. <<<<< Mbona nasikia Kuna watu Wana penda hayo? #fblifestyle#radiomariatz #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
NGUCHIRO MTIIFU 🇹🇿🇰🇪🐒
Region: TZ
Monday 19 October 2026 12:15:52 GMT
Music
Download
Comments
Mom Tr💎cious💜 :
Achana nae atakukumbuka ukija ukame
2026-10-19 15:25:15
46
H💞 :
alafu wengine tuna lazimishwaa kuyatoa 😂😂😁
2026-10-19 14:59:59
44
Happy Fredy :
yooooooh
2026-10-19 19:09:58
0
jacquiline manilakiza :
marriage is a scarm😂😂😂😅
2026-10-19 16:07:52
0
Official asmah✨🦋 :
Sasa mtu asikimbie elnino jmn😳
2026-10-19 16:46:24
3
💔 heart breaker :
hakimu alisibitisha ni kwel maji yapo au walimsikiliza TU
aaaaah me wananiudhi
2026-10-19 14:23:42
17
Mss.Irene🌹 :
Mbn soon naachwa 😂😂😂😂
2026-10-19 15:48:10
2
Mrs honey :
mwanasheria embu akikisha kma nikweli
2026-10-19 15:14:36
6
miss jp :
Dada kuwa na amani subir kiangazi atakutafuta
2026-10-19 16:33:23
1
mk14 kode star :
duuuuuh wadada mpooo
2026-10-19 12:37:49
1
inocent kavenuke :
Kwani kabla hajamuoa hakuliona hilo?? na kama limeanza tatizo akiwa ndani ya ndoa ni kwanini wasiende hospitali kuliko kudhalilishana mitandaoni namna hiyo ""Sio vizuri""
2026-10-19 18:06:55
0
It’s mimah🎀 :
Uyu baba tumsanue au tumwache😁
2026-10-19 18:41:26
0
annuu :
kwani wanaume wenyewe wanasemaje
2026-10-19 18:50:49
0
diana nadee :
mh! Mungu awasaidie walio wake
2026-10-19 16:28:18
1
Monicca :
Jamn jamn khaaaa
2026-10-19 15:49:17
1
dorry01 :
2026-10-19 15:17:09
1
Ginnah008🌻🦒🦒✨️ :
😂
2026-10-19 18:57:02
0
NAWALE 💤Business :
😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-19 17:49:10
0
zainabu :
sasa siwayakupe talaka ya nn
2026-10-19 17:56:21
0
divine :
wengine tunayatafuta🥺.....anyway
2026-10-19 18:57:31
0
Hanna been jessy :
mna ushahidi
2026-10-19 17:57:12
0
RICH HEART :
yupo wapi 💪💪💪
2026-10-19 18:56:07
0
Elly@25 :
Nani anamaji aje kwang
2026-10-19 18:23:16
0
abdallahabdul3 :
2026-10-19 14:10:17
0
To see more videos from user @mtumweusi26, please go to the Tikwm
homepage.