@viarich7: Mlango unaofungwa unaweza kukulazimisha kutafuta mlango mwingine,kukataliwa kunaweza kukusukuma kugundua uwezo ambao hukujua kama unao,usikimbilie kulipiza kisasi endelea kujijenga, omba Mungu akupe hekima hata katika nyakati ambazo huelewei kinachoendelea bado unaweza kujifunza kukua na kusonga mbele. #GrowingAccounts

vivie yummyfood
vivie yummyfood
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 12:27:24 GMT
3038
42
0
8

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @viarich7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About