@hassankhatibmabruki: Sheikh anasimulia: Abu Ubaida Ibn Jarrah (R.A) vitani Badr baba yake alikuwa upande wa adui. Alimkwepa mara nyingi, lakini baba yake alimfuata kumtaka amuue. Mwisho alilazimika kusimamia HAKI kuliko damu. Hapo ndipo Allah akateremsha Aya: "Hutawakuta watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu... wanawapenda wale wanaompinga Mwenyezi Mungu hata wakiwa baba zao..." [Al-Mujadala 22] Hii ndio Imani ya kweli. Sikiliza Sheikh anavyosimulia mpaka mwisho 👇 #KisaChaBadr #AbuUbaidaIbnJarah #BinKishiri #Masahaba #HistoriaYaKiislamu