@storyof14:

HIJRAH OF STORY
HIJRAH OF STORY
Open In TikTok:
Region: ID
Monday 19 October 2026 12:39:23 GMT
26270
806
56
460

Music

Download

Comments

nunikklaten
KINUN :
Aamiin🤲
2026-10-19 22:18:24
1
dadosantiagoricar
Dado ceket :
amin semoga Allah memberikan Rizki d lancar usaha ya bsok hari Selasa amin 🤲
2026-10-19 13:24:55
1
ninaahmad545
ninaahmad545 :
Aamiin ya Rabbal Alamin 🤲🏻
2026-10-20 01:31:34
0
norafif09
norafif09 :
Aamin🤲🤲🤲
2026-10-19 12:50:48
0
risa.tajusshah
Risa Tajusshah :
aamiiin
2026-10-20 10:02:48
0
nadiahbtkamaruddi
nadiahbtkamaruddi :
Amiin🤲🤲🤲.
2026-10-20 00:42:53
0
dotciel.creativit
dotciel creativity :
amin ya allah 🤲🤲🤲
2026-10-20 03:26:24
0
lis.solihah3
lis solihah :
aminn
2026-10-20 05:34:17
0
chairan.putra
chairan putra :
2026
2026-10-20 06:58:35
0
nandangnaabil
BANGBLACK☕ :
aamiiin amin amin yaa Allah yaa robbal allamin🤲🤲🤲
2026-10-20 04:40:29
0
hany.hanipah98
Hany Hanipah :
Aamiin...
2026-10-19 12:51:59
1
rahilibilly2
Rahili billy :
Amin
2026-10-20 02:11:03
0
novan.iskandar5
Novan Iskandar :
aamiin ya robbal alsmiin
2026-10-20 12:07:13
0
muhdfaizolezul
Muhd Faizol Ezul :
Aamin
2026-10-20 03:40:31
0
sitiirohmaahh
SITI ROHMAH :
2026-10-20 00:22:04
0
user637802022434
user637802022434 :
Aamiin aamiin aamiin ya Allah ya robbal Alaamiin [Tangan terbuka][Tangan terbuka][Tangan terbuka][Berdoa]
2026-10-19 23:11:12
0
ainanurdiansyah17
AinaNurdiansyah17 :
Aamiin 🤲
2026-10-20 00:45:57
0
arianda264
Ari :
Aamiin
2026-10-20 01:20:37
0
nasgor.babat.pak.karmin
Nasgor Babat Pak Karmin :
2026-10-19 22:28:56
0
yenyenfirdaus
yenyenfirdaus :
aamiin
2026-10-19 22:25:56
0
de60006
Never day 88 :
amin y Allah y robal alamin
2026-10-20 13:25:41
0
mukenatravell
mukenatraveling :
aminnn
2026-10-19 22:46:06
0
jengsri199
jeng Sri :
Aaamiin...
2026-10-19 22:59:07
0
danz.683
Dani haryanto :
2026-10-19 23:09:04
0
november_kelabu_
NovemberKelabu :
Aamiin
2026-10-19 12:50:52
0
To see more videos from user @storyof14, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

1.Kukata mawasiliano kabisa.  Huombi msamaha, hupigi simu, na hujibu meseji zake. Ukimya huu wa ghafla unamfanya akose kile kikombe cha upendo alichokizoea na kuanza kuhisi pengo lako. 2.Kujiendeleza na Kujithamini.  Unazidisha juhudi kwenye muonekano wako, mazoezi, kazi, au biashara zako. Anapoona unazidi kung'aa na kufanikiwa bila yeye, anagundua kuwa wewe ulikuwa baraka na sio mzigo. 3.  Kupata amani ya kweli.  Huonyeshi hasira wala kufanya visasi vya kitoto kwenye mitandao ya jamii. Kuona una tabasamu la dhati na unaendelea na maisha kwa utulivu kunamfanya aone kuwa hukuwa tegemezi kwake. 4. Kutofuta maamuzi yako. Unasimamia msimamo wako na kutoonyesha nia ya kurudi nyuma kwenye maumivu. Hili linamfanya aheshimu utu wako na kugundua kuwa alipoteza mwanamke mwenye misingi imara. 5. Kulinganisha na wengine na Kushindwa. Anapoingia kwenye uhusiano mwingine na kukutana na drama, usiri, au usaliti. Hapo ndipo anapoanza kukumbuka jinsi ulivyokuwa mtu wa kipekee, mwaminifu, na mwenye upendo wa dhati. 6.Kutochunguza maisha yake.   Huulizi habari zake kwa marafiki zake na huangalii 'status' zake. Kitendo cha kuona humfuatilii kabisa kinamuumiza na kumfanya ahisi amesahaulika haraka sana. 7. Kukomaa kihisia. Ukikutana naye kwa bahati mbaya, unamsalimia kwa heshima na ustaarabu bila kuonyesha kinyongo wala kutaka maongezi marefu. Hali hii inamfanya aone ulivyo mtu wa viwango vya juu. 8. Kukubalika na watu wengine. Anapoona bado unapendwa, unaheshimiwa, na unatafutwa na watu wengine wenye hadhi kubwa. Hii inamthibitishia kuwa wewe ni lulu ambayo yeye alishindwa kuitunza. 9. Kutokomea kwa usaidizi wako. Kama ulikuwa unamsaidia kwa mawazo, ushauri, au namna yoyote ile, huduma hiyo inapoishia hapo. Anapokumbana na changamoto za maisha na kukosa mtu wa kumfariji kama wewe, anajuta. 10. Kupata mtu anayekuthamini zaidi  Baada ya muda, unapoamua kufungua moyo wako na kupata mwanaume mwingine anayekutreat kama malkia. Hii ndio ishara ya mwisho inayomfanya atambue kuwa amekupoteza mazima na kamwe hawezi kukupata tena.#mahusiano #relationships #relationshipgoals #tiktoktanzania #tiktokkenya 🇰🇪 🇰🇪

About