Umesema ukweli mtupuuu…..watu wako tayari kukutumia kwaajili yao yani hawajali kuhusu ww 🙌🙌
2026-10-19 14:44:50
53
Pinket_20 :
I’ve already woken up from that deep sleep🙏💪
2026-10-19 16:12:55
10
mama.g.g.tz. :
kweli kabisa bora nimtumia meta ai kumweleza shida yangu kuliko binadamu ninae mfahamu mtu unamweleza kumbe anakuchora anafuraia shida yako umweleze tu 😅😅😅😳😳
2026-10-19 15:42:53
18
Halima Chamwile222 :
watu wanajua wanachokifanya usipate kichaa kwa maamuzi ya mtu mwingine
2026-10-19 13:33:35
11
Lightness 🦋 :
Ujue hii napitia saivi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]