@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh abdulrazak Amir Amesema Moja ya Jambo Linalotia Umaskini Ni Zinaa Huku Kwa Kiasi Kikubwa Baadhi ya Watu Wamekua Wakihonga Magari,Nyumba Sababu Tu Waendelee Kupendwa Pia Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amesema Kijana Asiogope Kuingia Katika Ndoa Kwa Msukumo Wa Kiimani Sababu Kuna Baraka Nyingi Endapo Utaamua Kuoa.