Mungu nakuomba ukumbuke mtumishi wako wewe ndo unajua hesabu ya matendo yetu
2026-10-19 16:40:11
6
Emmanuel Mungazi :
next part
2026-10-19 13:34:42
1
Namrembo :
Hizi nyimbo nitafanyia nini mimi
2026-10-19 18:36:17
1
fedrick :
kupitia nyimbo zake uwa tuna balikiwa asiwe anatulea pigo za hovyo wat weng wamekua na hof ya mungu sabab ya nyimbo zake mingu ajalibiwi
2026-10-19 19:31:14
2
larosemuvambi :
Mungu na omba iwe uongo ikiwa Kweli nita umiya sana 😭😭😭
2026-10-19 19:17:00
1
mama vijimambo :
Hooo mungu usikubali arudi nyuma napenda nyimbo zake sana haki mungu tenda jambo kwa haraka naomba
2026-10-19 14:43:48
6
gina :
tumuombeee tuu anapitia wakati mgumu .lkn huku anakoendaa ndo balaa tu.bora abaki huku kwa YESU
2026-10-19 18:31:57
1
sivi asifiwe :
Nyimbo zako Zina tupa tena nguvu na tumaini nipe wimbo titre ni kiapo cha damu
2026-10-19 19:37:54
1
felistatwahily :
Usiniache Yesu anakupenda
2026-10-19 19:33:10
1
@bint elia :
Mungu awabariki
2026-10-19 15:25:24
1
rozey :
Watu uanza vibaya but unafika na kumaliza vema Mungu wetu sio mwanadamu akose kuifathi Mutumishi wake adi afikie hapo ninapoona izo post mnyimbo zake kuanzia Tu Sauti pekee inakukombo maana Una unako WA kipekee Siamini ninao yaona na ninao yaskiya Mungu usiruusu mabaya yamubate Mutumishi paschal napenda Sana na napenda uduma wake hee Mungu sikia Ombi langu✍️🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
2026-10-19 15:19:20
2
user3419675314549 :
Mungu Mkumbuke mja mka
2026-10-19 17:07:33
1
joycemwita241 :
mwenyez mungu akutie nguvu
2026-10-19 19:02:36
1
Suleapeter :
Napenda nyimbo zako kaka hatakama unapitia magumu Mungu yupo atafanya njia utapita tu
2026-10-19 18:45:19
1
Jesus🙏 :
Mungu wa mbinguni naomba rehema umkumbuke mtumishi wako kasiani asifie jangwani🙏
2026-10-19 19:10:33
1
Victoria :
mungu akupe ulinzi wa moyo mtumishi🙏🙏🙏
2026-10-19 17:23:23
1
favoured :
Ii dunia bila Mungu hatuwezi na yote yatapita bro cassian
2026-10-19 17:25:58
1
neddy from heaven ❣️❣️❣️ :
baba kumpuka mtumishi wako,,wale wanamwinda washindwe kwa jina lesu 🧎♀️