@mgk.online.media: #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #fyb #funnyvideos

MGK ONLINE MEDIA
MGK ONLINE MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 13:20:29 GMT
126943
3794
713
1035

Music

Download

Comments

yusuph.silongola
yusuph silongola :
daaaaa ww wawp sio wot dada ww
2026-10-20 21:10:23
0
happynes.david5
happynes david :
wifi mbona naturalistic jamani😁😁😁
2026-10-20 20:07:52
0
user1359270884358
mom G :
we dada
2026-10-20 14:12:12
0
alvinedangote
furniture nzuridangotealvine9 :
wanyakyusa ndio Trend ya sasa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 12:05:38
0
maryhezron
Mary Hezron :
sio wote my dear
2026-10-20 14:18:21
0
jaywizzyfashion
Jaywizzy_ fashion :
Mwaisa alituwakilisha vyema sana 🔥😂😂
2026-10-20 09:20:15
20
esthy0057
Esthy💞💞 :
me mwnyw mnyakyusa ila sitak mwanaume mnyakyusa
2026-10-20 15:05:34
7
user97265717798108
Neema mwanibula :
itakuwa hakukupenda uyooo wewe ndio ulijipendekeza,. kaka zangu wanaupendo wa kweli
2026-10-20 06:09:40
103
kama.karonge
kama karonge :
sio mnyakyusa wangu kila kitu napata ila wivu muhimu
2026-10-20 05:16:42
100
faith.polypathy
faith♒ polypathy Tanzania 🇹🇿 :
mmmmmh
2026-10-20 13:41:05
0
neemangelula
neemangelula :
mtu si kabila, mtu ni roho yake namna ilivyo .
2026-10-20 04:47:16
56
sikazweeva
Evlyn :
sio kweli, hakuolewa na mnyakyusa walivyo na zarau wachukue vitu😂😂
2026-10-20 10:47:06
25
sweetiemanka1
Salt & Sugar🧂🍚😜 :
sina hamu na hao watu jamani 😭😭😭
2026-10-20 04:59:45
37
tumaialni341
Tumain Alan :
ww dada nimuong
2026-10-20 04:41:29
23
user5657679766428
miss Ag :
wanyakyusa hapana hapana kwakwel
2026-10-20 08:15:29
15
pili.francis5
@mimi :
Ni wakwako tu wengin hawapo ivo😳
2026-10-20 17:01:18
6
evasamwel2014
Vai Ray :
tatizo lilikuwa kwako wangu hayuko hivyo
2026-10-20 08:01:40
10
skfredy01
SK@ :
sio Kwa mnyakyusa wangu jamani ananipenda ananijari me na mwanangu Yani sio poaa 🥰
2026-10-20 06:22:37
13
sabe0142
sabe :
siyo kweli labda ni huyo uliyekutana naye wewe, wanyakyusa wanajua kupenda, wanajali,wivu kweli wanao ni kwasababu wanapenda sana, niongezee
2026-10-20 05:04:14
12
vickyfunga
✔️✔️✔️ :
si kweli dada nakataa kabisaaa
2026-10-20 05:34:14
9
mwakibete_luxury_shoes
MWAKIBETE_LUXURY_SHOES👠 :
JENJE LITO ULUANDA SOKAPOHAPA 🙌🏻🙌🏻
2026-10-20 09:39:52
9
laurencemwandwani
laurencemwandwani :
ni tabia ya mmojammoja Dada usihukum kabila
2026-10-20 04:16:26
6
user85185149730302
carty b🐈🐈🌹🌹❤️ :
Me mwenyew mnyakyusa lakin sitaki kuolewa na mnyakyusa
2026-10-20 18:13:47
0
rayfortunatus
Rebeccah~0 :
BIG NO❌
2026-10-20 09:28:42
1
conssolat
🌹It’s me 🦋 :
Hapo kwenye kudai vitu nikweli yalinikuta
2026-10-20 10:37:51
0
To see more videos from user @mgk.online.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About