pole hii ilishawai kunitokea lkn usijali ndio kipimo cha kukua hasara na faida wote ni watoto wa mfanyabiashara🙏
2026-10-20 05:38:24
47
NEYTEM :
sijaelewa lkn pole sana
2026-10-20 05:07:33
1
Madam Minner Kizuri :
upo wapi tununue hata kama hazina fungashio
2026-10-20 12:03:47
3
Maryam Gerion39 :
Wafanyabiashara wa eneo hilo ywende tumsaidie mfanya boashara mwenzetu tukanunue katon bila kava Twendeninkwa Ukoja wetu
2026-10-20 08:40:34
6
mam J💕❤️ :
pole sana
2026-10-20 14:00:19
1
Paulina :
Daaaa😭😭😭pole sana punda 😭
2026-10-20 13:06:36
0
mapunda store :
Hasara ni sehemu ya biashara
2026-10-19 13:52:23
17
Matrida benny :
poleni sana jaman daaah
2026-10-20 12:24:12
0
Diana_salvage :
Duuuh pole aisee
2026-10-20 14:06:40
1
AMATz person of people 🔥🔥## :
pole mapunda .. Ila nimeshindw kufaham mbona kama nikwenye fuso sasa zimesambaa vip ... ????? au niwatu wenye roho mbaya walichanachana karatsi😭😭😭😭😭😭😭😭😭