@kahama.town: Saiv nikienda kwa mganga chakwanza nampa simu yangu Atoe Lock. Akishindwa naondoka 😂😂 #creatorsearchinsights #typppppppppppppppppppシ #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #kahamatown

Kahama Town🏴‍☠️
Kahama Town🏴‍☠️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 13:55:12 GMT
36396
1494
87
52

Music

Download

Comments

wa.geita99
Wa Geita99% :
Itifac 👉💯 😁 Kwa kwel
2026-10-20 17:46:58
2
ally540
Ally :
😁😁😁 haya bana
2026-10-20 16:29:17
1
user60980070522591lady
Lady💘💘 :
saw
2026-10-20 13:26:27
1
emmanuelrutumo
Emmanuel Rutumo :
lazima afanye interview kwanza 😂😂
2026-10-20 19:39:20
1
loui15463
LOUI LABLES⚓️ :
Mim nikienda aniambie nmekula nin kbla sijafika kwake sasa ole wake aseme nimekula ugari dagaa kazi anayo 😂
2026-10-20 18:08:19
1
imeldarevocatus
imelda baby :
aya njoo nitoe lock
2026-10-20 06:15:54
1
queenzuuh
queenzuuh :
Animbie jina langu bila kuni Uliza
2026-10-20 14:10:02
1
gmimports.tz2
GM IMPORTS :
kbsa
2026-10-20 18:15:49
1
benisonson
BENISON_ son :
Wametuzoea sana wanakimbilia kusema unamatatizo mengi sana. mimi mwenyew naelewa ndo maana nimekuja kwako 😁🤣
2026-10-20 14:31:03
1
taymiyah14
taymiyah :
Haaa
2026-10-20 10:20:57
1
user5397106190348
CEC FASHION :
Nimecheka kwa saut
2026-10-20 10:02:17
1
paloko36
PALOKO ✝️🏥 :
subilia n mm nije nianze kwenda kwa waganga naona kila kijana anasemea masuala ya uganga
2026-10-20 11:11:14
1
its_giraffe8
💫Unique Mama✨ :
😅 oneni huyu
2026-10-19 15:21:13
2
joycecute99
joycecute :
Aniite kwanza jina langu la utoto nililokuwa nataniwa ndo ntasema kweli huyu mganga noma siyo kusema ninaonewa wivu na majiran tu kila mara🤣🤣🤣🙌
2026-10-20 18:21:43
1
user6701288629786
H,U,R,U,M,A S,I,O, M,A,L,E,Z,I :
je kama wlikuwa fundi simu
2026-10-19 15:44:26
2
amoc.anactazia
Amoc Anactazia :
aseme nilicho kula usiku😂😂
2026-10-20 07:57:16
1
madeeh81
Madeeh officially💦🦋 :
😂😂😂Makubwa
2026-10-19 15:19:53
1
user60980070522591lady
Lady💘💘 :
🤣🤣🤣🤣 sas huyuu
2026-10-20 13:26:20
1
alwatan192
kalebu hustle :
😂😂😂😂 Tumechokaa kuambiwa masuala ya nyotaa bhn watoee pattern tyu
2026-10-20 10:31:09
1
alinna.sam
Alinna Sam :
dustinguish technology and witchcraft. they are not used interchangeably
2026-10-20 05:03:01
1
brayantairo290
tairo 2029 :
malex
2026-10-19 18:55:21
1
maggd65
Love me ❤️❤️ :
Na waganga siku hizi hawana soko kabisa wanazalauliwa2
2026-10-20 13:05:37
1
engineerprince3
Engineer :
Mie ntamuuliza kuwa uck mara ya mwisho uck nlilalal na nani 😂
2026-10-19 16:44:02
2
oomosrmssss02
mss_ :
Mimi namwambia akumbatiane na mamba kwanza ndo nimwamini🥺
2026-10-20 11:38:44
1
kelvinkarishanga
Kelvin 🎧 :
atakwambia mizimu yake haijasomea hayo mambo 😂😂
2026-10-19 16:56:54
2
To see more videos from user @kahama.town, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About