sitawahi kuwa Shahidi wa mtu hata Kama Ni mamangu mzazi afungwe tu😅😅😅
2026-10-19 18:10:10
22
SunneyJossey official :
lla mwenye kiti we ninoma sana kabisa
2026-10-19 15:07:27
77
OFICIAL FIZZO :
hapo ndo nafikiria niende kweli me na ghairi bhn siend tena acha afungwe tu
2026-10-19 14:08:31
35
Kipkemoi Ngeno :
I had found myself in this situation one day
2026-10-19 17:54:49
0
Neygesa❤️❤️ :
umetishaaa mzeee
2026-10-19 16:33:09
0
Bazenga🐉333 :
very promising idea
2026-10-19 17:38:01
1
rynahpaul :
me yalinikuta walai coz nilipeleka kesi yangu kupitia mapolisi osterbay nikaitwa kizimban na mtuhumiwa nikaambiwa wew unaitwa mary Abraham paul nkajib ndy,,,,nkaulizwa umekuja na kesi ya kuibiwa cm nkajib ndy swal likaja kwa mtuhumiwa akaulizwa wew unaitwa bambam Johnson akajib ndy akaulizwa unatuhumiwa kwa ukabaj akajib ndy sas hap kumb kajilog kuitikia aiseee akatuhumiwa kufungwa kifungo cha miez sita ya nje pale pale kumbe karam ndug za huy mtuhumiwa wamempa hongo akaja kizimban na kusema mh.hakimu huy binti kakubali kulipwa pesa yake na wakaj kwang kuniuliza je??? umeridhia kulipwa aisee sikujion nkajib ndio pale pal kesi ikaisha sas uliza nililipwa sasa 🤣😂🤣😂🤣😂😂yaaan naend kuchkua pesa yangu pale mahakam ya mwanz kinondon kambangwa sikulipwa hadi leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 15:27:12
15
Rena 🇰🇪💯 :
😂😂😂ooohhh nooooo
2026-10-19 19:23:20
0
Kidali P :
asante
2026-10-19 14:43:17
1
ABELY KIVUNO,) :
nakukubali sana na ninakufatilia sana,
2026-10-19 14:04:26
10
Kenyans News :
me nitamuuliza unahukika Gani kwmba ushaidi wangu ni WA uongo?