@cawabemedia_: "Wanaume wengi wa Tanzania wanaona Taswira za mama zao kwahiyo ni ngumu sana kuishi na wanawake wasiofanyan kazi za nyumbani" Madam Eva Mrema

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 14:39:38 GMT
116071
6658
202
560

Music

Download

Comments

lilyhygiene360
Lilybarbie💞 :
punguzen ushaur Kila mtu apambane na Hali yake
2026-10-19 16:29:50
54
user1583014161449
shamilah🥰 :
jamani Nina ushuhuda ni kweliii
2026-10-19 16:22:20
26
johnnynyondo
|Son ⭕️f Man| :
Mbona kama tunasingiziwa mazee.
2026-10-19 15:44:41
5
user5880035621373
jay Z :
mwanaume anamuhitaji mwanamke ambae ataweza kupray part mbili kwa pa1 anahitaji mwanamke anaweza kuwa mama km yy alivyolelewa na mama yake na anahitaji mwanamke ambae anaweza kuwa km mkewe
2026-10-20 17:44:36
2
nck231_
Ja Rule :
Hata wanawake kama kwenye familia baba anadharauliwa na mama, ukioa hapo sahau kuheshimika
2026-10-20 05:32:51
12
robertmasanja111
Robert Masanja :
Si wanaume wa Kitanzania pekee, Ni Asilimia kubwa Ya wanaume wengi Duniani
2026-10-19 17:20:27
17
the.gifted.enock
The Gifted Enock :
dah! fact 100%.....
2026-10-19 15:38:14
9
kitimoto.corner.p
kitimoto corner point :
100% ✅️✅️
2026-10-19 17:46:29
3
treyshan_
treyshan🇹🇿💕 :
kwanini mwanamke abadili lifestyle yake na mume abaki na lifestyle ya kwao? Kama tunaoana tutaishi tutakavyopanga sisi siyo kila mtu alivyolelewa kwao
2026-10-20 04:07:28
4
ryannitoh
Dmitry :
Hii research amefanya kwa wanaume wangap? Au anazungumzia mtazamo wake na ma ex wake?
2026-10-20 07:27:17
2
abdullity_perfumes2
abdullity mohammedy :
I dont have my mother's picture that woman is not male centered 😂 wisha mimi.
2026-10-19 18:06:49
1
noelobies846
Leonardo Danvici :
yani niukweli mtupu
2026-10-19 16:35:52
7
amgood2003
am good 👍 :
vp kwetu sisi ambao hatujalelewa na mama zetu😂😂😂
2026-10-21 04:14:59
2
asshenamedius
Amedius Shengero :
huyu mdada huwa anaongea above 75% ni uhalisia kabisa napenda sana anavofafanua mambo maana anajisahidi sana kuongea pasipo hisia. unaweza kuta hata hayaishi haya anayoyazungumza lakin anaongea ule uhalisia wake pasipo kuingiza maisha yake binafsi ndani ya maneno yake
2026-10-19 16:28:48
8
austinwinstonet8
AUSTINE 🥇 :
uongo sema sehem kubwa ya dunia sio tanzania
2026-10-20 04:51:32
0
joseph.schalula8
Joe_Rio :
split facts 🔥
2026-10-20 15:14:49
1
omarjames807
Omary66 :
dada kwenye upande wa ndoa kushauri unambingu yako
2026-10-21 02:49:55
1
nalybreezy
@Nalybreezy :
100%
2026-10-19 15:59:10
2
zuuhtrump
🍀🌸Zuuh Mrs 🤪💦❤️💫 :
me natoka kazini saa 4 usiku nafika napika jamn haya mambo haya oooh 😁😁😁😁😁 anasema ukwel
2026-10-19 18:07:49
3
e.movie5
e.movie :
Maisha ya nyumbani kwetu siyataki ndo maana naanzisha maisha yangu
2026-10-19 18:04:15
3
toto.baddy001
B@ddy001 :
2026-10-19 17:28:13
1
hadhar.khan5
Hadhar KHAN :
💯
2026-10-19 17:16:31
1
juniorsanistine
Bamba :
YARABI NIMEMPENDA HUYU DADA HANA HERENI HANA NYWELE ZA DUKAN ANA AKILI DAH⚘️
2026-10-20 11:20:24
2
user860651513072
bob ross :
dada aseh sijuii ata nisemaje unajua mpka raha aseh
2026-10-19 17:25:56
4
mrsmoney66
Mrs Money 💰💰💰 :
Kuna mtu aliachika kisa hajui kupika zaid ya kuchemsha chai na kuchemsha maji ya kuoga na mume msoja pesa ipo alioa Kwa ghali sana ila akasema potelea mbali siwez kuajili dada wa kazi na mke wangu yupo tu ndoa iliisha wiki Moja baada ya honeymoon
2026-10-20 01:45:22
2
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About