mwanetu anapambana sana lakini sisi
wa tz hatupendi maendeleo ya watu sijui kwa nini lakini mimi ninampongeza sana one 🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-19 15:10:40
13
MASKILLS 👑 :
sio coach tuu
pia ni goat wa tz
2026-10-19 15:23:23
7
KANJI :
Amekuwa Kocha Kwa Vigezo Gani Labda,Alafu Tanzania one Kwani Amecheza na Wa TZ Wote au Vyeo Va Kupeana tu
2026-10-19 15:46:31
4
Queen of efootball :
appreciate 👍👍👍
2026-10-19 15:31:28
0
Nolan Joe☯️ :
Kuna vigezo gani vimetumika hadi yeye kufika huko
2026-10-19 16:46:11
0
hennzy :
je Kenya vp
2026-10-19 15:28:58
0
THE KING OF FOUL :
hasheem anatutukanaa
2026-10-19 17:38:00
0
623 :
Mashindano mengine ni linn kkaka
2026-10-19 17:07:06
0
kamilo_Msafii🦁 :
mi napongeza Nick kaka mi ni mkenya na namsapoti Nicky ila naumia nkiona kaka zangu wa bongo na ubinafsi eti amefanya nini sio poa.Ila moyon najua wanatamani hiyo fursa wapate wao😁😁😂
2026-10-19 17:46:44
0
𝒘𝒂𝒇𝒖𝒍𝒂 23 :
ako best
2026-10-19 15:53:29
0
~IJAY🇩🇪 :
et kocha 🙌
2026-10-19 15:50:42
0
Kevin :
nakubali bro
2026-10-19 14:50:10
0
Njele Multi-Store :
2026-10-19 14:52:22
0
reman reign@92 :
its good brooo sana sana ni maendeleo sana brooobig up