@fundiali2: kila hatua dua

FUNDI ALI
FUNDI ALI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 15:49:23 GMT
22906
730
77
57

Music

Download

Comments

hmzabdy361
AbdySam361 :
ramani kal San kak upo wpi
2026-10-19 19:57:30
0
user1168465825681
🐉 Air Line :
ila nyumba za skuiz hazina choo ata hugeuki dah
2026-10-20 10:48:23
1
abdullaabubakar83
Abdulla :
unajenga bei gan foundation ya vyumba 2
2026-10-19 17:36:46
3
chichifaki.10.folks
ChichiFaki 10 folks :
na icho choo cha public kina foot ngap urefu na upana
2026-10-21 05:13:38
1
ismail.khatib
ZNZ BOY🚶‍♂️‍➡️🇹🇿🇬🇧 :
Imeharimu kiasi gani mpaka apo ilipo fika
2026-10-21 17:03:18
1
www.waseemsalaami250
waseem salaami :
pesa ngapi mnajenga kama hiyo
2026-10-19 17:31:32
1
abullet_maparah
Abullet_Mapara :
katumia eneo la 3bedroom kwa 2bed na garama zile zile kwa ukubwa uwo
2026-10-20 22:14:36
1
achimidi
ngoswe :
matofali Mangap vyumba viwil
2026-10-20 08:16:34
0
hassanabdul3628
mashal :
up wap
2026-10-19 20:30:19
0
mwana.mbike
tatu :
zinaigiy tofali gap
2026-10-21 06:53:09
0
hadijamcha
Hadija Mcha419. :
Vyumba vya haja hadirahaa
2026-10-21 09:47:39
0
kinana543
kinana :
fundi kama ctaki kutumia jiwe nataka foundation nitumie tofali.tofali chini nilaze kozi ngapi ili msingi wake uinuke vizuri??
2026-10-19 19:45:58
0
bomani.cafe
bomani cafe :
dar umnafika
2026-10-20 12:36:28
0
biljonie
Biljonie :
boma linatumia tofali ngapi kukamilika Kwa ramani hiyo
2026-10-21 04:57:18
0
mr_abdul2662
Abdul :
Tofali ngapi mpk apo?
2026-10-19 22:52:40
0
user4949435284368
supar women :
fundi ali as/ykum plastar unapga chumba single kias gn na mastar kias gn vyumba vya kawaida tu si vikubwa
2026-10-20 03:58:30
0
msodok.hasla
Msodok Hasla :
mpk apo tufali ngp boss pls
2026-10-20 01:30:05
0
chichifaki.10.folks
ChichiFaki 10 folks :
iyo koridoo ya katikati ina futi ngapi fundi
2026-10-21 05:12:11
0
mbchili
mbchili :
mwanbie zakaria anyamaze km kameza memory ya zbc
2026-10-19 16:48:06
0
dida34408
حديجة ❤️ ❤️ :
mashallh mzr sn
2026-10-20 08:49:49
0
manuells_tz
Manuells :
Kazi nzuri, Kazi safi kabisa imenyooka 🙌🏾
2026-10-21 08:52:09
0
user5503509734771
Ahlam :
km hii mpaka ifike juu inatumia tufali ngapi
2026-10-20 20:09:50
0
sahircozy
Mr. Sahir :
Vyumba vyote vikiwa master inakua uzuti zaidi
2026-10-20 15:43:03
0
kashindejuma128
Kashybby :
Kufika hapo jumla ni sh ngapi jumla gharama
2026-10-25 05:38:37
0
mariam.hasan390
RAMY🥰 :
Naomb namba yako
2026-10-24 04:05:02
0
To see more videos from user @fundiali2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About