@tariq_mastory: Jamaa ashikiliwa na uma kwa kutojihusisha na mahusiano kwa kipindi kirefu#frypgシ #10million🔥 #tiktokviral🇹🇿🇺🇸🇺🇬🇸🇦🇿🇦🇳🇬🇰🇪 #tanzaniatiktok #viraltiktok

Tariqmastory tz🇹🇿
Tariqmastory tz🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 16:08:35 GMT
50021
898
200
174

Music

Download

Comments

altury1
MR DOMINATOR :
😳😳😳😳😳 tumeisha
2026-10-20 07:54:27
0
panta.bizzy1
Panta Bizzy :
watu washaanza kupeleka kes zao [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 07:39:03
0
asmah.jutto
Äšmäĥ 🇹🇿🦋🇴🇲 :
Hii nchi sihami maan ni hatar [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 07:44:54
0
paskalinagadiye
linah :
haya na mimi mwenye miaka miwili na nusu itakuwaje
2026-10-20 06:23:17
13
user1905303333187
tina torano :
na sisi ambao hatujawahi kuwa mahusiano kabisa😅😅
2026-10-20 06:30:50
7
www.najma.abdalla.comm
naah ❤️❤️ :
jaman hiii nchii imetoboka bhnaaa au mnaonaje🥺🥺🥺
2026-10-19 20:53:37
11
saiboggirl2
💍nly Betty🌸💫 :
Muwe mnatufata na nyumbani tusiolewa mtutafutie wachumba😂😂
2026-10-20 07:28:59
2
milfath674
Milly🦋 :
sasa me sindo ntafungwa maisha mana sina mpenzi nina mwaka sahv😂😂😂
2026-10-20 04:56:28
6
victoria.makala
victoria makala :
police wapo siliazi kweli niko hapa nina miaka 2 njooeni😂😂😂
2026-10-19 19:34:16
8
raphaelboe2
💲it's phazy BOE 🌴 :
na ikiwa mtu hajawahi kabisa kuingia kwenye mahusiano tangu azaliwe mnawafunga miaka mingapi 😁
2026-10-20 06:09:51
2
miss.sabrah2
Sabby girl 💦 :
Na mimi wa miaka mi3 jee inamaana hamnion
2026-10-20 08:21:54
0
jeniphersteven5
Jenzy ✨ :
wanifunge miak m3 na nusu maana nampngo wakuwa single miak 7
2026-10-20 07:34:57
0
marry.cate28
marry cate@28 :
me sna hisia
2026-10-20 06:32:21
0
damaldenis
Damal Denis :
mm ninampango niache mahusiano kumbe niendelee tu maana jera kubaya sasa
2026-10-20 07:01:25
0
asiasanga221
kitoto 2005🤟🔥🥰 :
naaam!!!!🫣🫣
2026-10-19 21:02:04
2
frankkulwatz
F▪︎Certified☆ :
Njooni mnichukue na mimi huu mwaka wa tatu😭
2026-10-20 06:24:06
0
nghost371
nghost :
kwahy mnampeleka jela ndo Kuna mahusiano au siyo🤣🤣
2026-10-20 03:53:03
2
lahai.lahai.roi
Lahai Lahai roi :
njoo huku tangu nizaliwe sijui mapenzi hata kupenda sijawahi
2026-10-19 20:54:24
0
mussakitotonahod
mussa :
wake wanichukie na mm 😂 nnamiaka miwili saiv sinamahusiano😂
2026-10-19 18:36:14
1
jayden21q
jayden :
kumbe kutojihisisha. na mahusiano muda mrefu ni kosa
2026-10-20 08:38:36
0
edina.william76
Edina William :
heee!! mim je mwenye nipo single miaka 3 ntakaa jela miez mingap 😂😂
2026-10-20 08:52:14
0
mr.particular7
Mr.Particular :
Dah huyo mwaka mmoja miezi sita mimi wamiaka mitano
2026-10-20 08:44:14
0
user2812654052306
maselemteganda🕌 :
waje wanikamate na mm basi🤣🤣
2026-10-20 08:44:08
0
nducha_jr
nducha_jjr :
mm kifungo cha maisha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] tangi kuzaliwa
2026-10-20 08:42:48
0
beauty06415
beauty :
msinisaau mimi miaka mitatu sasa sija jiusisha mlijuaje maana sina ata mia elinino isinibebe bora nimepata pa kujishkizia [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 08:41:25
0
To see more videos from user @tariq_mastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About