si kweli mzee...inategemea umejenga nyumba aina gani.
2026-10-20 05:24:03
5
manvet :
Laki 5 kwa mwez mmmh 😂😂😂sio kweli
2026-10-19 18:25:48
2
Richlove :
kiongozi ujanijibu mpka Leo ulisema unaweza kukopea bond nataka nije na mwanasheria kabla sijanunua bondi niwasainishe kukopea bond zangu ili kuepuka kushikana mashati ofisi ya mikopo
2026-10-19 19:57:48
1
Kilindo Jr :
youtube channel inaitwaje???
2026-10-20 09:28:35
0
reyp :
bond ni nini
2026-10-19 18:39:32
1
manofhonor141 :
myumba ikiwa wapi bro
2026-10-21 10:02:40
1
ellymdundo :
acha uongo. inategemea nyumba ipo wapi. nyumba vyumba 10. kila chumba kl chumba laki moja.jumla laki 6. no risk una riziki
2026-10-19 21:22:31
1
chosen.one :
Nyumba unapata faida ya kodi na thamani yake baada ya miaka 10.
2026-10-21 17:40:32
1
wariobangibombi :
huu ni ujinga wa kiwango cha lami, kwa biashara hii pesa inaweza kukuingiza hadi milioni 5 kwa mwaka
2026-10-21 09:54:20
1
Mclamar_arts_and_decor :
Muwamba Ngoma huvutia kwake
2026-10-20 03:29:27
1
Benny Innocent :
40 m napata fream 5 nzuri na nitapata kwa uchache 1,000,000
2026-10-20 12:39:32
0
lugy :
iyo 500k ni kodi ya mwezi , kweli maisha ni machaguo
2026-10-21 06:28:55
0
breeze Ze Kalenz :
umejenga wap?
2026-10-19 19:02:46
1
Chrispine Ekonga :
uongo
2026-10-19 19:31:44
1
chosen.one :
Kwa Miaka 10 kati ya bond na kukodisha plus ukiuza nyumba je
2026-10-21 17:42:45
1
Michael Dar Cromer :
Ukiona unaitwa kwenye fulsa, wewe ndio Fulsa, penye hela ya uhakika huwa hawatak hata mpajue, hizo hela za Bond pigeni nyinyi
2026-10-20 05:37:56
0
Glossy Hands :
Jichanganyeni sasa ..zingatieni neno "hata laki 5" .....halafu hawa wakufunzi bonds ni savings sio kitu cha kukupa maisha ya kila mwezi 😂😂😂
2026-10-20 03:30:59
1
Winner :
aisee Tanzania inabd serikali itoe elimu zaidi kwa wananchi wake hasa katika Bond (Hati fungani) na Share (Hisa) yaan comment za hii video weng hawana elimu kabisa kuhusu ishu ya investment na Watu hawajui Utofaut wa INVESTMENT NA BUSINESS
2026-10-20 08:50:51
0
To see more videos from user @theintelligentinvestor5, please go to the Tikwm
homepage.