😂😂nikikuwa nakunywa Royal village dodoma nikajikuta kondoa na washikaji nisiowajua wameshanitambulisha mpaka kwenye familia zao halafu saa kumi na mbili asubuhi nikajikuta kwenye ufukwe wa ziwa manyara gari imekwama kwenye mchanga wa ufukweni
2026-10-24 06:48:23
4
serenamacho :
🤣🤣🤣🤣🤣 nimeacha
2026-10-24 03:51:35
0
Neyjo :
Hapo hata majina hamjuani 😂
2026-10-23 22:11:27
5
shanichriss612 :
me ndo nikajikuta nipo kijijini na sina ata mia wazazi wananiomba ela nikajifanya akili sina vzr
2026-10-23 18:30:33
9
Haggaisavage :
nilianza kunywa mbagala nikaamkia tandale sjui hata nilifikaje maskin 😂😂😂💔
2026-10-24 07:29:31
2
Neymally Abby :
😁😁 hahhaa nimecheka adi nime nyambaaaaa but umenikumbusha mbali 🤣😁😁😁 usiombe alafu pombe ndo ikuishe hahahahaa 😁😁
2026-10-22 17:43:55
10
#mbishiJ :
mi ndo uyo shangingi wa nyuma nimevuk vijiji 7 kwa unywaji[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 06:26:03
6
DEE 🤍🩵🤍 :
Huyu ni mm😂😂🙌🏽
2026-10-24 06:53:52
1
Just mama :
Pombe shikamoo,nilikuwa nakunywa kisasa Dodoma,saa 11 pombe inaisha kichwani najikuta nipo lhumwa,watu siwajui,sina hata pesa ya kurudia home,kwenye simu meseji kibao nimeshadanganya watu na walinitumia pesa,sijui nitalipa vp,nikasema sinywi teena pombe,😂,sijui niliendaje lhumwa uwiiiiii
2026-10-24 06:10:21
1
ummy :
nachoka mm
2026-10-23 12:31:28
1
Last_born3🌺✌️ :
aki watu mnajua kuandika caption 😂😂😂😂😂
2026-10-20 04:48:38
5
🥷zai🦁♌️ :
ila umenikumbusha mbalii bhna wee😂😂😂😂
2026-10-20 15:38:32
4
Mwanah🥰 :
Dah🤣🤣😂😂😂😂😂
2026-10-20 00:54:24
2
mellah :
hapo Kuna mambo ✌️
2026-10-22 03:57:41
2
deborachediely2 :
2026-10-23 19:47:30
1
marinacute :
🤣🤣🤣
2026-10-19 20:01:22
1
user163968847446 :
2026-10-19 21:07:08
0
Miss Diana♊️💜 :
😁😁
2026-10-23 20:10:46
1
baby queen🦋🫶❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂🤣😂😂🤣
2026-10-23 19:31:44
1
Dorice :
2026-10-23 19:06:27
1
CAREEN🖤 :
2026-10-23 13:47:58
1
wema096 :
2026-10-23 07:45:57
1
To see more videos from user @fathia430, please go to the Tikwm
homepage.