🙏Mungu wa mbinguni unapogusa watoto wengine kuwaponya usimpite Dorcas amuite mama yake hili ni ombi langu kwako🥹nakuomba kwa unyenyekevu mkubwa kama vile uliniokoa na kifo leba nikaamini upo bas naamini upo kwa huyu mtoto☺️Amen
2026-10-19 18:16:50
534
Miss dancanlee♍️🩷🤍 :
Dorcas is so beautiful 😍 girl 🧒 I love her a lot ❤️🤍
2026-10-19 16:49:34
128
BARAKA JR :
barikiwa sister
2026-10-19 16:38:12
59
shaa ❤️🥀🤎 :
Kuna namna mungu anakutumia wew kuwapa watu moyo wa kuto kata tamaa barikiwa sawa ❤️🙏
2026-10-19 20:07:10
79
joybeautypointy& jewellery :
Vitoe vimsumali sio salama kwa mtoto
2026-10-19 20:15:15
44
mama b :
kwani mtoto anaumwa nini
2026-11-10 19:21:27
0
MAGRETH JAMES :
Mungu akumbuke sadaka zako zote unazotoa atende muujiza Kwa mtoto huyo🥰❤️❤️
2026-10-20 06:04:53
28
Nice's collection STORE TZ :
wow this is so cute❤
2026-10-19 16:37:27
6
Aneth 🌹🌹 :
ndio wanampenda kaka yao na kumjali akikaa tu vibaya wanakuja mbio kukuita ukamuweke sawa siku moja kaka yao alidondoka kitandani walilia sana wakawa wanajitahidi kumuinua wakashindwa nao wakalala hapo hapo chini kwa kaka yao. watoto kama hawa wanahitaji upendo sana.
2026-10-19 18:08:25
11
happyme :
Dada Rehema Mungu asikupe uchovu Dorcas Amekuwa sasa Binti yetu
2026-10-20 09:01:15
5
PASCO-99🌱 :
My love Dorcas[Heart eyes]
2026-10-19 16:43:22
7
Lizah Njogu :
my three years old takes care of his big bro (8yrs) with c.p.,I teach him to do small things like checking on him and report to me whether he's alright, covering him and it's amazing...it creates a strong and beautiful bond between them 🥰
2026-10-19 16:58:37
6
Aggy :
❤️barikiwa
2026-10-19 18:02:19
1
Joyce salehe :
mh doricas mrembo jaman 🥰
2026-10-19 17:19:54
5
neemajisena7 :
Ubarikiwe dada❤️❤️
2026-10-19 18:00:23
1
Da Tee 🥰🥰 :
mungu mwema dada
2026-10-19 17:42:35
1
Naah elishy♉️ :
Mungu akutunzie 🥰
2026-10-19 20:57:45
1
modestar💃💃 :
barikiwa sana🙏🙏
2026-10-19 17:29:47
1
zakia athman :
waooo Dors,hakika da rehema mungu hawezi kukusahau🙏
2026-10-19 19:29:08
1
Deborah Malila :
binti mrembo sana.. Mungu amtunze♥️💯
2026-10-19 17:14:05
1
Jakikya✨🦋❤️ :
Hii ndiyo maana hali ya upendo 🥰
2026-10-19 20:14:28
1
bettysstyleandculture :
Dorcas ni mrembo sanaa ❤️❤️
2026-10-19 18:59:06
1
Nono🦋Tz :
wooh🥰🥰
2026-10-19 16:38:16
4
Lee girl :
asee madam Rehema ubarkiwe mno.
Ule wimbo wa chanzo Cha uhai wangu ulivyonibariki na naomba pia umbariki Dorcas katika hii hali .Bwana akazidi kuwa chanzo Cha uhai wake
2026-11-02 23:32:08
2
magreth :
kipenz changu mwaya amepoz kaman
2026-10-19 20:11:00
2
To see more videos from user @rehemasimfukwe_, please go to the Tikwm
homepage.