@mbeya9: #creatorsearchinsight

MBEYA MJINI EVENTS✅️
MBEYA MJINI EVENTS✅️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 16:53:57 GMT
45251
2935
403
330

Music

Download

Comments

faustinah2312
faustinah health care :
sina hamu mimi mwanjelwa to isyesye lelin[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 18:30:13
3
user6659147315984
catheline :
Sina amu Leo nimetembea kutoka ilomba mpaka ea poti 😕😕
2026-10-19 18:45:27
31
mmbax.codm
mmbax :
kwaio iyunga nafikaje kesho[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-19 18:55:11
1
bigmun56
rayyan :
Daah wamewaangusha mahomeboys
2026-10-19 18:53:38
0
rachelnulyat
rache lnulyat :
daaa ila tanzasania yetu hii inajua kutu andaa na bajeti za elnino mana buku buku zetu za nauli ndo zina okoka hivyoo tununue unga na mafuta mboga zpo njian[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 18:41:52
2
maricofficial2
maricoficial1 :
apa ukitembea kutok kabwe mpk isyesye unakuta umepata ata mchumba😂😂😂ila leo💔🙌
2026-10-19 18:45:31
25
jemars06
~Bloomie 🤍🦋 :
Yaan leooo nmepanda guta mara nmetembeaa 😂😂😂
2026-10-19 18:12:48
5
marryjoely1
mry :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]kwani kumekuaje
2026-10-19 19:46:51
1
lizybet31
lizybet 😘 :
Kuna wengn ndo tunafika hm from kabwe to igawilo ad so pw yaan
2026-10-19 19:15:37
9
cassie02038
Lilly🤍🌹 :
Nmekanyaga kuanzia mwanjelwa hadi veta akii hii sitapona😂💔
2026-10-19 18:24:19
7
chrissbreazzy
FASHIONFUCKER#91 :
Leo tumeach ndalaaaaa
2026-10-19 19:45:33
1
mrstaifa1
Michi Accessories :
Kaka kesho bajaji za kwenda Veta pale Soweto zitakuwepo au😂😂nisaidieni jamani nijue mapema
2026-10-19 18:38:05
8
mama.laooh.og
Mama Laooh Og! :
leo sina hamu nimetembea kutoka mwanjelwa hadi ccm
2026-10-19 20:06:59
1
kumalo471
Bablai Mnoma :
hii MBEYA Iko na mambo ya ajabu sana aki
2026-10-19 17:48:10
16
kimjojo30
Cathe nenula :
kwanza me sielewi kwanini bajaji hazipo anae jua mnanichanganya
2026-10-19 17:49:45
8
shangaz452
Shangazi Mw :
sasa jmn kwa wale wanaofanya Diet na mazoez walifurahi wamekimbia mazoez humohumo!! ukifika nyumban unakula mchicha fungu moja maana unalala maana mazoez tayar!! nimekimbia mbio kutoka kabwe mpaka uyole mazoez tosha haya !! kesho naenda kupima kilo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 19:20:11
7
user1513581748111
agripina Jackson :
poleni jaman
2026-10-19 18:56:47
1
user6625381835536
Catty💖 :
Duh ko kwa form 4 wanaotegemea uo usafir itakuwaje na mitihn hii🥺🥺☹️
2026-10-19 18:03:38
6
bad0851
TOZZY 45 :
kumbe madereva Bajaj tuna umuhim sana
2026-10-19 17:53:14
5
wanyamwinuka
muwanji wa simambwe❣️❣️ :
awa viongoz wanajua daladala zinavotutesa ikifika saa kumi na mbili wote wanapaki magali bajaji ndo zinatusaidia sis walud usiku wanatutakia nin selikakali iangalie na upande wetu
2026-10-19 18:38:31
7
lolochelse17
lolo chelse 1 :
cna ham leo😅😅
2026-10-19 18:36:15
1
celin3019
Purity 🦋💞 :
Nimetembea kabwe mpaka veta nimefika nimepumzika kwanza 🤣
2026-10-19 19:57:26
1
imelda062129
imelda06 :
aisee tumepigwa mawe kwenye gari Mungu ambariki yule deleva katukimbiza Soweto magerejini
2026-10-19 20:38:27
2
user22221351593105
candy divah :
hiyo lini hiyo hiyo leo hiyo poleni jamani
2026-10-19 18:39:02
1
lily477650
Lily :
kuna nn jmn kunamgomo au?
2026-10-19 20:05:36
1
To see more videos from user @mbeya9, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About