Kijan tunajivunia kupitia ww umetuwakilisha vyema Zanzibar ww ni miongon mwa fahary yetu jap tulitaman kumuon na AT ila haikuwa bahat
2026-10-19 18:20:10
6
ashlomz :
talented sana mkuu salute 🥰👍
2026-10-19 19:01:18
2
Basalee :
yeah ni real alipga shoo kali hammer q
2026-10-19 19:57:34
3
kisombokira85 :
kweli kabisa Mzee wa pembe
2026-10-21 09:57:25
0
ahmed :
brother unajua sana appreciate it 🙏
2026-10-20 04:47:02
1
fleva Melody's :
hama ni fund mda Sana ila wanambania sehem zote
2026-10-20 22:12:58
0
Kharim Kharim :
Hama ni mashine
2026-10-20 12:57:25
1
Adrin vivo :
[Tears of joy]huyo fundi humjuwi wewe mtoto wa juzi huyu ...ndio alisanuka ajali ya mikumiku ...huyu aliingia offside trick alipiga kazi kali sana na show zake huwa sikosi akija bara kuna mishangazi kibao
2026-10-19 19:38:32
0
MWINYI MKUU :
FUNDI MMOJA ✍️
2026-10-20 05:27:14
0
faba bin dawood :
Hama Q anafanya mazoez anapiga live show sana na yupp vizuri sana [Fire][Fire][Fire][Fire][Fire][Fire]
2026-10-20 05:54:38
0
Cholo Makame Zain💦🐯 :
Tulipata mchumba kupitia nyimbo zake Hammer Q
2026-10-20 17:56:36
0
loukmansuleiman :
mm nilifikiria 2 berry wataua ila hata cjui wamefanya nn
2026-10-20 06:47:07
0
ZANZIBAR BRAND :
Mshikaji Azingatiwe
2026-10-20 08:16:05
0
masanlg sound :
nakubali kamkubwa
2026-10-20 03:23:39
0
AL-JABRY :
WAULIZE EMASON WANAMJUA VIZURI HUYU BABA Q.
2026-10-19 18:30:32
0
muhamedsuleiman83 :
Sauty bado ipo kwenye bongofleva taarab na qaswida keep on bro
2026-10-19 18:20:49
0
Omofia Kwenu :
Tuulizeni watoto wa BuBuBu ndio tunajua uwezo wake.
2026-10-19 18:48:50
1
txjuniorjunior :
sio bongo fleva ni zenji fleva
2026-10-20 15:09:54
0
Holy Painters Tanzania ✅ :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-19 17:41:50
0
Jullydrummer :
🔥🔥🔥
2026-10-19 17:32:26
0
To see more videos from user @hammerq_znz, please go to the Tikwm
homepage.