@360newz7: #fyp

360Newz
360Newz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 17:02:32 GMT
71776
1795
93
232

Music

Download

Comments

6119om
6119omy :
ateri sawa ovary ni mshipa gani wa damu
2026-10-19 19:00:14
11
bad.kulwa
bad kulwa :
mtandaon kila mtu ni doctor
2026-10-19 19:42:50
19
user3269996399853
Thecla :
sawa doctr
2026-10-20 02:21:18
0
doreen.malack
Over confidence 99 :
Kwanza nashkuru Mungu maji ya baridi yananishinda nikigusa tu yananeletea tonsils
2026-10-19 19:26:52
4
ukhty.juwayria
@Ukhty juwayria🥰 :
😂😂😂😂Mimi baada yakusikia mzingi
2026-10-19 19:59:40
1
mwanamkuu.shosi
Mwanamkuu Shosi :
mzingiiii😁😁😁
2026-10-19 19:38:26
8
omymsomal
omymsomal :
we nae hatukuamini simba ilishinda 🤣
2026-10-19 20:53:49
5
manyota100
Big Manyota :
huo ni kweli wala mimi sikupingi ni kweli kabisa
2026-10-19 23:12:17
1
mayachris12
Mayachris12 :
Huyu leo kaongea point mhimu sana big up bro mimi hili lilinitesa sana tuepuke na kunywa maji ya mvua ni hatari mno mno
2026-10-19 21:21:52
0
danielmnagagmail
[email protected] :
hiyo nikwel
2026-10-19 19:22:08
2
daudisteven
daudisteven :
nashindwa kuelewaa
2026-10-19 19:55:21
1
fransiscolihamu
fransiscolihamu :
hapo kwenye Ovary damu inaingiaje tena?
2026-10-19 20:43:10
1
user153605204846
Jackson :
doctor kun siku uliloga simba ifungwe mbona ili funga😊
2026-10-19 20:43:58
1
user6225360054572
user6225360054572 :
je soda haziui taratibu. mafuta je nayo yanaua taratibu. wanawake et nao wanaua taratibu. je tik tok inaua taratibu. muh Mungu nipe imani niponde maji ya barindi maana huku kwetu kunajoto hatar
2026-10-19 19:31:12
2
cousin_wa_kenya
COUSIN_WA KENYA :
nimeeacha miaka 3
2026-10-19 19:51:51
1
sojaakids
sojaa kids :
Samahan naomba uni block😁
2026-10-19 21:12:28
0
dio.hazard3
Dio Hazard :
vipi bia
2026-10-19 17:58:43
1
flo.n23
Flo Flora :
ukweli kabixaaa ata sahii jiko na tonsillitis juu ya maji baridi
2026-10-19 18:54:35
1
j_kilawe
Jackson :
sasa kwao si kuna baridi hata ukienda moshi na iringa watu hawanywi maji ya baridi
2026-10-19 18:51:33
1
user3244738712338
LEONARD J KISANGA.🌹🌹 :
mwisho mtatuambia tusijambe
2026-10-19 23:13:47
0
user68124869471662
Cristina mwalongo :
kweli kaka
2026-10-20 02:52:43
0
shadia0246
shadia :
kweli kabisaa
2026-10-20 02:49:47
0
rizikidelaurant
Rizo Queen 👸 ✨️ 💖 :
Acha kupotosha watu
2026-10-20 00:00:42
0
mathew.justinian
scarface star :
apo kweli
2026-10-19 23:59:22
0
user3337917602081
user3337917602081 :
2026-10-19 17:41:04
0
To see more videos from user @360newz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About