@focustvtz: Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, alimuita Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mbele ya mkutano wa wananchi ili aeleze kinachoendelea kwenye ujenzi wa mradi wa barabara ya mchepuko (Bypass) kutoka Kihesa kwenda Igumbilo, mradi ambao utekelezaji wake umekuwa ukisuasua na kusimama kwa muda mrefu. #FocusTVTanzania