@dkt.ndikumana_1: Huyu bwana chale anatuona sisi niwasahaulifu sio? Anatudanganya kama vile hatukuwepo na wala hatukusikia alivyonywea hapa kama amenyeshewa, leo anageuza maneno kwamba alivimba 😆😆 NB: WATU PEKEE WATAKAO KUAMINI NI HAO UNAOSHIRIKIANA NAO KUIBA HELA ZA TONETONE #siasa #siasazetu #siasatanzania #chadema #maandamano
ndikumana
Region: TZ
Monday 19 October 2026 17:48:00 GMT
Music
Download
Comments
Ibrahim Kijanga :
Heche kaumbuka.......Tecnologiaaaaaaaa
2026-10-19 20:14:41
9
B.boy🙄 :
alisemea moyoni hakusikika😅
2026-10-19 20:43:47
2
King ☀️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Mungu Na Technologia
2026-10-19 20:44:25
1
Abdallah Msopa :
hehe akiona hii haamini 😂
2026-10-19 20:23:57
4
user24024190945116 :
Huwezi kuongopa hakusema hayo mbele ya JPM alikuwa mtu wa tofauti 🙏🙏
2026-10-19 20:42:43
3
mkumbihj :
😅😅😅 ila Chalee 😅😅😅
2026-10-19 18:03:21
3
ENG Juma :
Siasa sio nzuli😂🤣🤣🤣😅😅😂😂🤣 😅😂🤣🤣
2026-10-19 20:40:20
1
muu :
naomba niidanilodi
2026-10-19 20:22:55
1
NOBLE :
sasa hapo kamsema nin😂😂😂
2026-10-19 21:15:22
0
impetus8 :
Huenda alijisemea moyoni jamani 😂😂😂
2026-10-19 21:16:00
0
Bufa boy Salum :
Hahahahaha Technologia igweeeeeeeeeee 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-10-19 20:56:06
0
kajiba_Benny :
laki 5 nd hela gani
2026-10-19 20:44:37
0
Ramadhani mohamed Likwaya :
apa alitupiga
2026-10-19 20:39:28
0
cadeau :
aonyeshwe
2026-10-19 20:35:50
0
richard :
kaka agu uyu kabisa
2026-10-19 20:06:41
0
mwarabu wa kigoma New :
daaaaaaaaah 😭😭😱😱😱😱😱
2026-10-19 19:46:23
0
Ibrahim Kijanga :
Hili jamaa niliongo sana hapa alisema wapi chukua maiki......bahati nzuri watu wanatunza kumbukumbu.
2026-10-19 20:14:03
4
a.a.a.a.a :
technology inatunza kumbukumbu🤣
2026-10-19 20:08:33
1
Haji Mustapha :
anataka kuona alipo sema ivyo anicheki inbox
2026-10-19 20:48:37
1
simionkipindia :
wandagayewengine sio wanatikitoku
2026-10-19 20:48:58
1
MC_CHUMVI :
😂😂😂😂na mchango alitoa
2026-10-19 20:31:32
0
satyenyi :
hivi ndio kumuwasha 😂😂😂😂toa mikono mfukoni, teknologia 😅
2026-10-19 20:29:48
0
joe :
vi2 viwili vyakuogopa Mungu na Tchnologia
2026-10-19 20:35:40
0
OMMY P :
akiiona ataona aibu
2026-10-19 20:26:07
0
To see more videos from user @dkt.ndikumana_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.