@sonywizy: #viral #sonywizy @Chii🦋 @DOGO MONDO🔥

sonywizy
sonywizy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 18:12:48 GMT
245891
21462
1177
571

Music

Download

Comments

datyanog
Dattyan Og :
Na yule boda vipi ..?
2026-10-19 23:26:25
676
kabulamato
Bernaa :
Sio kweli ilo daftar lina zaid ya miaka 10
2026-10-20 01:19:40
397
user2231599343821
lizzy :
mbn sielewii mara yule boda mara huyu tuelewe vp guy's
2026-10-20 09:00:00
0
gmbo.g
Night🌙 :
ila wa tanzania bhna sasa ilikuaje adi mkaanza kumtafta uyu kijana wa kwenye daftari😄😄😄
2026-10-20 00:02:25
196
mightzion
Mlton_0003 :
Ukute Tanzania ndo chanel ya vichekesho mbinguni 😂😂🙌
2026-10-20 05:19:02
372
aliciasuzana800
@Alicia.vibe tz💪 :
Bado namtafuta mpenziiiii wangu wa darasa la saba[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-20 09:22:42
0
yvettedecute
yvettedecute :
Ni joel nanauka 😂
2026-10-20 06:58:25
13
reen7875
Aiem reen🥰😍 :
2memuonaa[Big LOL]
2026-10-20 08:48:13
0
rafaelidaudicomedy
Rafaeli mtoto wa mama na baba :
kwa uyu sawa ndo nakubali ila yule anaesema ameishiya kuwa boda sijamwelewa
2026-10-20 00:34:40
92
mussasebastian675ww
Moses Sebastian :
yeye kabs
2026-10-20 07:57:22
0
dirhany914
Dirhany :
mbn wakwenye daftar nimzur
2026-10-20 01:07:26
37
sophygraphics4
Official souhaty :
kumbe ndy dgafafafabd dhdjdjdbdhdj😁😁
2026-10-20 09:30:17
0
amaelderz
@amaelderz 🤑💥 :
My favourite person, napenda, bright kid fitabo
2026-10-20 09:07:56
0
user1528372562731
unknown🏃 :
ni yeye kwel
2026-10-19 20:35:18
29
cherrytz07
user3713761853046 :
jmn mbona wamekuwa wengi sasa khee au ni challenge 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻
2026-10-20 04:23:09
8
eal5626
Anchor_man :
hapo kuna mambo hay ✌️
2026-10-20 03:42:11
7
yusuphmathias75
budege boy :
ni yeye kweli sema wengi wanatrend kupitia huyu dogo lakn huyu ni yeye
2026-10-19 20:54:52
13
viki.vik849
Viki Vik :
ila wanafanana
2026-10-19 21:46:35
6
wahaguwje
FYADE KAMA FYADE :
Apo kuna mambo haya ✌
2026-10-19 22:14:57
5
user1221937547817
dizzo boy :
wampe hata maisha mazuri bas wamemtumia sana duh
2026-10-19 22:46:43
6
malackoscar579
Malack {oscar} :
huyu naanza kuamini
2026-10-20 07:17:22
51
allydad3d
𝖄𝖚𝖑𝖊 𝕭𝖔𝖞 :
kwa hesabu zangu hapana umri ni mdogo bhna tangu nimeanz kutumia zile daftari hapana kwakweli
2026-10-20 00:38:31
12
dee.calia
Dee calia🧐 :
yeye ss hyu
2026-10-19 23:25:05
48
arshaina4
ZUUH. 0FFICIALLY 🦋 :
mbona kama mnatuchanganya na yule boda boda vip tena🤣🤣🤣
2026-10-20 06:14:52
37
baraka_patrick53
barack_53 :
minitafutie na uyo dem aliopo kweny picha ya daftari alilobeba dogo kweny iyo picha yake ya kweny daftari
2026-10-20 01:10:45
5
To see more videos from user @sonywizy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About