@islamic_rihla: Ibada zetu ni muhimu, lakini tusisahau kuutakasa mioyo yetu t dhidi ya kiburi, chuki na husuda. Tusijishughulishe na kurekebisha matendo yetu ya nje pekee, bali tujitahidi pia kuijenga mioyo yenye unyenyekevu, upendo na huruma kwa Waislamu wenzetu. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH HAMZA MANSOOR 🔸 Follow Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yatakayokuimarisha katika imani na kukukumbusha mema kila siku. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #UsafiWaMoyo #Mawaidha #Uislamu 🟠 FOLLOW US