@omarimshairi: 😅😅 Ahmed ally ikabidi amwambie ukweli TU sure boy awe makini na NYUMA MWIKOO Video credit 𝐏𝐌𝐓𝐕 #simbasportsclub #simbasc #simbanguvumoja #cafchampionsleague #nguvumoja
hapo wachezaji wa yanga wanataman kupanda irizar wakiongozwa na selemani 😃😄
2026-10-20 03:32:35
5
Rayriss ~1 :
Kwan Yanga walikuw na daladala au 😂😂
2026-10-19 19:55:04
11
Balotell Inatosha :
hao ukiwachekea wanakudhulum kweli
2026-10-19 19:45:41
6
Bek@Mbosso :
Football
2026-10-19 20:33:12
1
Bin Marik :
Kwel Yanga n timu ya mpira kwa kwel apo ungekuta ile mechi ya lig Yanga ndoo ameshinda bas Simba usingewaona wako na frah kama ivyo walivyo Yanga ungesikia kwa mashabik wao tim imepoteza wew unacheka cheka 2
2026-10-19 20:50:27
3
abby aso :
wachezaji wao Wana shobo ila Simba acheni Sifa bhan
2026-10-19 18:51:12
6
Richi 🦜🦜 :
kwani wamekutana Wapy awaa
2026-10-19 18:58:10
1
MHAFIDHINA :
ila semaji[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]