Ukiwa na Tabia hiyo ya kukagua simu ya mumeo ujue hauitaki ndoa🤣🤣🤣🤣
2026-10-20 07:55:57
42
Irene kafem :
wanawake cm zitatuuwa😂
2026-10-20 06:42:39
20
Malizako Bridget :
nexit2
2026-10-20 19:43:31
0
kidoti-21 :
Dawa ya usingizi inaunzwa wapi 😂😂😂
2026-10-19 20:35:15
38
🌴chogo💥🌴 :
ulichokitak umekipta tulia ss
2026-10-19 20:49:08
30
Espe Urayeneza Nzaisenga :
heeeeeee
2026-10-20 14:16:32
0
Zaina wakigoma :
sasa unalia nn siumeyataka mwenyewe ila kwa kina ndoa mnapitia mengi 🙌🙌🙌
2026-10-19 20:44:53
10
neemalupagalo :
hay ndo madhar ya kukaguw simu coz utakayoyaon yatakuvunj moyo
2026-10-20 05:46:58
5
Rich Kagosi :
next part
2026-10-20 17:13:02
0
zawadi amina :
next please
2026-10-19 20:44:31
0
Cute Lizzy :
mi wangu Haina haja ya dawa ya usingizi na Simu anakuachia na haina password ,kwahiyo ukiyataka kulia ishike
2026-10-20 11:06:03
5
shuu :
Ndomana me ctk kukagua cm ya mume wangu mana najua kbs lzm nitapigwa drip 5
2026-10-20 10:44:59
2
ms apple🍒🍏 :
kukagua simu laxma Sasa hayo kayajiaje bila kiangalia wanaume wanafiki sana aisee bola ujue unaishia na mtyu gani ETI usifayikie kisa nn unakuta mmeo anatoka ata na mama ako
2026-10-20 17:54:51
1
_♏️r_Me❤️💍🥰😋 :
Dah chap ulete mwendelezo naona huku ndo nilpokuw naelekea dah
2026-10-19 23:10:08
2
chadiasafari :
next [Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare]
2026-10-20 03:30:41
3
mariel G🥰😋 :
me imeniponz jamn sitaki hata kusikia jmn mm mumewang aligeuka simba kabs yan duuh sitak kabs me
2026-10-20 12:52:59
3
it's saj 💥⚡🔐 :
next
2026-10-19 19:23:03
1
Dommy :
Next
2026-10-19 21:57:10
1
Marium :
duuuuuu pole ndo man mm sin mda namwanaume kufatiliw
2026-10-20 04:40:34
0
Nurath🦋🦋 :
Usiombee kukagua simu iliwaii nikuta nilikagua simu ya mume wangu nililia nusu kufata sitakuja kusubutu tena kukagua ni maumivu tu🥺🥺🥺🥺 nawashaulii msijalibu pia
2026-10-20 06:48:55
4
maviatu :
ukitaka udumu kwenye ndoa yako acha uchunguz ila ukitaka kuachika chunguza ujipatie na presha zako za jumla na ndoa uikose😂😂😂
2026-10-20 17:19:12
1
Rache d’or🌸💫✨ :
Suite
2026-10-19 20:18:46
3
ShellVeey😘 :
ehee umenifundisha kitu 😂 ngoj nkafanye
2026-10-20 13:51:14
2
To see more videos from user @simulizi_za_nerirah, please go to the Tikwm
homepage.