@mwinukard: #creatorsearchinsights #😂😂😂😂😂 #😂😂😂 #😂😂😂😂

Ronaldo
Ronaldo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 18:44:37 GMT
422986
11681
167
1112

Music

Download

Comments

da_malkia_2023queen
Christine wanje :
haya ndo maisha nayo taka sasa
2026-10-20 07:26:09
37
user3219262843382
irene :
mim.siolewi jamni kama ndohivi
2026-10-21 11:51:27
4
babzawena
babzawena :
iko vizuli tunaonuniana majumbani😁😁😁😁
2026-10-20 07:23:51
15
esthernaimol
estherbeautiful 🎵❤️ :
mmmmh wangu hapa ali chakula chako anapenda kususa mtu hyu😅😅mkinuniana cha chakula hatak😅😅
2026-10-19 21:14:39
7
shadranally
sh@@h :
Kuna huyu wangu sasa anakununia chakula ukipika anakula na kuichapa anaichap safi kabisa
2026-10-20 13:44:55
7
umm.sudaisi.bint
Umm sudaisi Bint zaydi :
me wakwangu ata umnuninieje ata anuneje pesa lazma akupe
2026-10-27 13:22:11
1
happysulle8
happysulle350 :
🤣🤣🤣🤣🤣 kila mtu anapeni yake hamna hiyo inaitwa tusizoeane🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-20 18:42:25
1
ngolomasunga625
Mrs masunga hardware's :
hahahahaha jaman vituko mambo ya ndoa nikafikir kwangu tu ,kumbe tupo weng
2026-10-21 13:37:52
4
lastprincesprince
lastprincess :
apa kuna mambo ayo✌️
2026-10-23 10:28:05
4
jenifer.classic..c
jenifer @classic @@@@.com. :
mm kabisa uyu na Hassan wangu
2026-10-20 16:07:21
0
princess.mahydah
Raisi wa kona baa 💥💔👄 :
maish nayapend aya😜😜😜😜
2026-10-20 19:58:21
2
eliwin.peter
Eliwin peter :
sasa c muongee tu kumbe mnapendana😁😁
2026-10-21 20:18:36
3
magrethelias177
maggy :
ahahhh tulioguswa tujuane
2026-10-21 19:35:06
2
bekhabekha35
bekha🙉🙉🙉🙉 :
ndo tumefika huku🤣🤣🤣
2026-10-23 16:24:32
1
jane174134
@Jane🌺 :
kikubwa nakupenda ipo👍😂
2026-10-23 13:36:46
1
mecrine21
mecrine🙏🙏 :
hahaha 🤣 ctaweza 🙌
2026-10-26 10:20:00
1
user827708084527
my sister🥰🥰 :
nachoka tulio kuja kusoma koment tujuane
2026-10-20 17:39:23
1
walulindi
Bella@Babe💋 :
ndo mm na mme wang ila ss kwa simu😅😅😅
2026-10-21 16:16:53
1
monica.simon20
🍬mamy Careen💋🍭 :
unaweza ukazani utani m niliwahi pitia miezi 5 usiombe uandike asisome
2026-10-19 20:43:37
4
bk_jaq
mama j love ❤️🫂 :
saw l love you too baby 😘😘😘🤣🤣🤣
2026-10-24 12:28:19
1
devasneer
happyness paull :
umepgaj hap dada
2026-10-20 16:40:02
1
user1461316230988
Irene mshendwa :
nimecheka mpk bas🥰
2026-10-20 16:12:46
1
sarah.mamag
Sarah mamaG :
ndoa. sio pingu za maisha haha😆😅😆😆
2026-10-22 15:24:53
1
sumydimpose
SUMY FIGHTER ❤️ :
Hahahahahahahahaha
2026-10-20 13:18:50
1
annalyjoseph55
Mrs Hussein :
asante Mungu mm nisipoongea na mme wangu sina aman
2026-10-26 14:33:11
1
To see more videos from user @mwinukard, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About