@health_lander03: Nguvu za kiume na uwezo wa kupata mtoto ni vitu viwili tofauti! 💡 Ubora wa mbegu hauwezi kuthibitishwa kwa uwezo wa kufanya tendo la ndoa pekee. Kipimo cha shahawa kinaweza kusaidia kutathmini afya ya mbegu. Swali: Je, ulikuwa unajua tofauti hii? Andika NDIYO au HAPANA kwenye comment. #UzaziKwaMwanaume #AfyaYaMwanaume #NguvuZaKiume #AfyaYaUzazi #ElimuYaAfya

Men_Fertility_care
Men_Fertility_care
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 18:46:05 GMT
2095
47
2
1

Music

Download

Comments

kibonye03
kibonye 68 :
hapana
2026-10-22 11:28:54
0
abedashu90
ABEDASHU :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-10-21 14:09:30
0
To see more videos from user @health_lander03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About