@mimi.ni.mkatoliki: Angalia: Mafrateri wa Jordan University College (JUCo) wakiamba wimbo wa Roho Mtakatifu kabla ya mtihano wao wa mwisho wa masomo ya teolojia #tiktoktanzania🇹🇿 #kanisakatoliki #rohomtakatifu #foryoupage #viraltiktok

Mkatoliki Halisi
Mkatoliki Halisi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 18:58:27 GMT
12594
879
66
23

Music

Download

Comments

anna.massawe70
Anna Massawe :
BEST WISHES KWENU
2026-10-20 19:30:39
1
alex.baraka
Ethan Jr :
siku hii sitaisahau 🙌🙌🙏🙏
2026-10-20 06:39:07
3
belina.principius
ave princpius@@@@ :
Mwenyezi Mungu awasimamie🙏🙏🙏
2026-10-20 10:31:18
3
julianamgiliya
julianamgiliya :
mtihani mwema jmn mama maria awaweke mikononi mwake🙏🙏
2026-10-20 06:13:09
6
swty8
Swty :
Mungu awe nanyi daima🙏🙏🙏
2026-10-20 05:35:03
3
elizabethlinus200
Linus :
kila la kheri ndugu zangu
2026-10-20 18:28:09
1
violettapetermallya
Daughter of Jesus :
Mungu Roho Mtakatifu awakumbushe yote
2026-10-20 01:21:33
4
jovincom
jovin com :
Mungu awe pamoja nanyi
2026-10-20 05:28:14
2
marykagine1
user500827054922 :
mungu akamilishe kile mlichokisudia 🥰🥰
2026-10-20 18:29:25
1
mkapesamacha
Mkapesamacha :
Mungu awasimamie
2026-10-20 15:42:56
1
tulimwinuka
Tuli Mwinuka :
Roho Mtakatifu awangazie mafanikio yenu ktk tumaini lenu mkawe mwangaza kwa wengine
2026-10-20 19:16:55
1
liwinamoyoasha
liwinamoyoashy :
Huu wimbo haujawahi muacha mtu salama. Mungu atawatendea. nakumbuka na sisi shuleni tulikuwa tuna uimba sana na majibu tuliyaona. Mungu awasimamie
2026-10-20 12:15:50
3
annaemmanuel78
Anna Emmanuel :
Mungu awatangulie ndugu 🙏
2026-10-20 08:03:23
1
lidyasiame
vibeswith@ mrs ap :
mungu awafanyie wepes akawakumbushe yote mliyo jifunza
2026-10-19 21:20:13
3
nyaulingo.philbert
Nyaulingo Philbert :
Mungu saidie sana🙏. Nipo na mdogo wangu hapo ndo kwanza anaanza masomo yake ya mwaka wa kwana. YERONIMO DOMINICUS NYAULINGO. kama Kaka ikifaa umuone umpe wosia
2026-10-20 07:27:11
1
jumannemarco850
Jumanne Marco :
mapendo
2026-10-20 04:53:09
2
user4419310277829
Monica :
kila la heri wadogo zetu..mungu awatangulie wote mfanye vizuri mitihani yenu
2026-10-20 15:51:03
1
kajes351
kajes :
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi
2026-10-19 19:54:17
2
adelmaris.albert
Adelmaris Albert :
Roho mtakatifu akawaangazie
2026-10-20 05:42:58
1
gpcollection5
mulima gemina :
MUNGU AMTUME ROHO WAKE MT AWAKUMBUSHE KILA KITU
2026-10-20 05:25:14
2
tumainimwambande
Hope :
Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi 🙏🙏
2026-10-20 07:54:27
1
user6686733035281
Friar MO :
Aaah nimemuona mwanajumuiya wangu Frt. Gregory, SDS
2026-10-20 09:47:03
1
tovelikibumu.chau
Tovelikibumu Chauganga :
+ AMINA 🙏
2026-10-20 05:33:40
1
sunday_munishi
MUNISHI🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
NAMPENDA HUU WIMBO SANA
2026-10-20 15:32:52
0
lidyasamwel6
lidya beauty saloon :
mungu awatangulie ktk mitihani yenu natamani NAMI mwanangu cku moja nimwone akiwa ktk wito wenu wa upadre🥰🥰🥰🥰
2026-10-20 19:39:34
1
To see more videos from user @mimi.ni.mkatoliki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About