weee acha tu kakaa ndio napitia now..[Embarrassed]
2026-10-21 08:51:14
3
Nameless :
nd mm saiii🥺🥺🥺🥺 niliomba call toka last week hadi sai sipigiwi😏😏😏😏
2026-10-20 19:37:39
0
Mariana 🎀 :
my situation right now 🥺😔
2026-10-20 04:01:43
60
🌴chogo💥🌴 :
ninachopitia mm sai m2 anipee advise jamen naumia mm💔💔😭😭😭
2026-10-19 21:13:13
36
Above only 🙏❤️ :
absolutely true
2026-10-20 15:51:29
0
Esther Joseph :
me nimemsumbua nikatosha nikaacha saiv ananisumbua yy
2026-10-21 03:55:41
5
levcute :
maisha yangu now days🥺🥺
2026-10-20 09:07:18
5
😜 Jůǰů🦋 :
nahs namsumbua nahs ajali kuhusu mim nahs anaogopa labd tunaweza kuachana mda wowote🥹 lkn nimempenda na nampenda
2026-10-21 06:08:47
3
𓆩𝑨𝒆𝒍𝒚𝒙𝒂𓆪 🕊️🖤 :
naeza kupata bega niweze kulia😩😭😭
2026-10-21 06:02:08
1
Rkc mom :
Nataman nimpate mtu mwelewa nimeleze magum yangu alafu nilieeeeee mpaka yaishe ila hakuna sasa.
2026-10-20 07:38:40
13
zairo369 :
tulishapita huko ilikuwa mby ila tulivuka aisee
2026-10-20 15:17:08
4
charlykidy🌴 :
KAMA IJAYAPITIA AYO UWEZ ELEWA
2026-10-20 21:46:49
2
Amrix🔥 :
ni maumivu juu ya maumivu
2026-10-20 20:51:55
2
syciouz :
naelewa sana🥺 mana jana nimeamua kutoka katika hayo mahusiano kwa kumuacha awe na amani ili nisimsumbue🥺
2026-10-20 04:14:52
1
Hilly Willy905 :
hakuna hisia mbaya kama kujihisi unamsumbua mtu pekee ambaye unaweza kumueleza maumivu yako..... heartbreak mbaya kupita zote duniani kuhisi unamsumbua yule mtu pekee ambaye anaweza kukusikilinza kile kinachokusumbua moyoni mwako ni mbaya sana inaumiza sana ...uwezi kuelewa mpaka hichi kitu kikitokee inauma sana
2026-10-21 13:16:42
1
user1565280733334 :
aise inauma sana nizaidi ya maumivu
2026-10-20 20:29:05
1
Marry zahil :
nikajua ni mm tu ndo nahsi maumivu makali ya moyo kumbe tupo wengi[Crying]
2026-10-20 19:54:23
1
cairant :
I wish nipate mtuu nipate angalau mmojaaa
2026-10-20 11:55:39
0
tiva🌹 :
niongee Kwa kukaa au nisimame jaman😭😭😭😭
2026-10-20 15:48:20
1
ayaan henna :
ndo hali nayopitia sasa hiv wallah
2026-10-20 15:43:43
0
🦋🌹Shakira 🥰🥰🌹 :
kweli jamani 🥰🥰
2026-10-21 18:52:02
0
rosejohn4685 :
ani kama umeniona mimi jamani dahhhh ndio niko kwenye hiyo situation
2026-10-21 20:12:40
0
To see more videos from user @silioflife2, please go to the Tikwm
homepage.