@itssevenkona: MWAKA 2009 mkali SQUEEZER aliachia huu wimbo safi kabisa akimshirikisha mwanadada mkali wa masauti MAUNDA ZORRO, wimbo unaitwa MY LOVE ulitayarishwa na producer MAN WATER 🔥
SEVENKONA
Region: TZ
Monday 19 October 2026 19:08:32 GMT
Music
Download
Comments
m@dmCroch£t :
mkaka alikua alikua ananikosha na sauti yake tu squeeze daah😊😊
2026-10-21 05:38:30
13
black beauty og 💋 :
Uyu jamaa yupo wapi jamaniiiii
2026-10-20 18:34:48
13
cecylia john :
kila nikiamka ndo wimbo wangu wa pili kuusikiliza kila siku bonge la ngoma🔥🔥
2026-10-20 20:26:40
9
Nely❤ :
Rest in peace again MAUNDA
2026-10-21 17:13:43
6
Middy love ❤️Store :
my fav song naupend huu wimbo jmn
2026-10-20 18:25:13
11
M Ayzal :
Sauti za kiume hizi saiv hazipo tena
2026-10-21 14:28:37
10
Janelyne14 :
Nikiona nyimbo za zamani nakumbuka kumbe na mimi nimekula chumvi eeeh ila zamani raha bwana
2026-10-20 21:59:09
12
Joel Ngusi :
Huyu jamaa noma sana .
2026-10-20 21:21:16
5
Wina Luoga :
inyimbo Kali sn
2026-10-21 08:31:30
2
Carina ❣️ :
wimbo wangu pendwaaa
2026-10-21 07:14:20
2
🎬 SEREMANI MWALIM 🎤 :
bloo umewaza nn mshamba awezi kuwelewa R I P DADA MAUNDA 😭👍👍PAKA LIWAKE PAKA JUA 🌄
2026-10-21 22:58:42
1
kad go :
water
2026-10-21 08:38:13
1
194_cactus :
Huu ilikw moto🔥🔥🔥
2026-10-20 20:04:06
3
T✨💗💞 :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-20 20:18:40
1
TASHA💋 :
🥰🥰
2026-10-20 20:24:45
1
CNCL23 :
Gen z m2saidie ku like 🥰
2026-10-21 06:17:03
1
Am_Jackline Massawe. :
😭😭
2026-10-21 05:08:02
1
user6815597024438 :
nilikuwa kidato 1
2026-10-21 13:35:39
1
Scholar Chaki :
miss you maunda
2026-10-21 14:07:05
3
crystaldeedone :
Hii nayo sio ya T touch
2026-10-21 16:08:51
2
tuma baby :
vibibi tunaelewaa
2026-10-20 20:22:10
3
Mrs bey💝💝💝 :
watoto wa 2000 wakae mbaliii love song
2026-10-21 06:07:01
3
OCTOBER 29 :
alafu huyu man water hatarii lakin akuimbwa sana
2026-10-21 08:20:53
3
NGUO BEI RAHISI :
Goma yangu pendwa❤️
2026-10-20 19:39:08
3
Jessie❤️ :
R I P Maunda zollo 🙏
2026-10-21 02:55:12
4
To see more videos from user @itssevenkona, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.