tetea kazi yako inayokupa pesa ila ukweli ndio huo
2026-10-20 04:26:21
15
Ally 🇹🇿 :
Vishirikina ni vibishi maelezo meeengi...SUB HAANA LLAH
2026-10-20 10:36:20
9
Seif Binjadur :
Mm nahisi sheikh yupo sahihi hayo mambo ni shirki, kwanza hal badri inatumiwa vibaya sana
2026-10-20 03:19:03
8
Mohamed Mk :
ni shirki kuomba mungu kwa kuweka daraja kitu kingine ili kumfikia allah
2026-10-21 05:54:55
2
abuu. com :
kwahyo huwezi kumuomba mungu hadi upitie kwa watu wengine au mimi ndy sijaelewa🙄🙄
2026-10-20 11:13:05
7
Ibrahim mwambage :
TUNAOMBA HII MADA AIZUNGUMZIE DR. SULE , OSTAZ MAZINGE , SHEKHE SHAFI ,NA SHEKHE KISHKI ILITUPATE ELIMU ZAID
2026-10-20 04:10:56
5
أبو أحمد :
kwanini usiombe kupitia kilicho bora zaidi ambapo Allaah andio kaamrisha na kataka tuombe kupitia majina yako
2026-10-20 09:46:23
3
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Asalam Aleykum?Kwani nini Maana Ya Shiriki?Huyu Shekh ni Uchache wa kuelewa Keani Kuwataja Watu wema ili iwe ni Kumwambia Allah kutokana na Kufanya kwao kitu nawe ukabariki na Ukikipa mguvu niki kisomo kama ulipowapa Ushindi Maswahaba hapo Shiriki inakua ninini?
2026-10-23 12:52:24
2
MUSSA OMARI :
ni ushirikina sheikh bhan
2026-10-19 20:47:07
2
kardama :
shekh unaumiza kichwa shida hawajui kutawasuli achana nao Kuna kisa Kuna watu walifungia katika pango wakaomba mungu mmoja wapo alisema mwenyezi Kwa wema niliofanya Kwa wazazi wangu wawili pango likafunguka je alifany shirki
2026-10-20 15:48:07
7
Ali Salim :
mbona Ami yangu watuharibia kazi?
2026-10-22 19:16:58
0
꧁☬Canalmasoud☬꧂ :
sasa kwa nini musiombe kwa cheo cha mtume mwenyewe
2026-10-19 21:59:24
1
ABUU KHARDAL :
tawasuli inaubaya gani kwani
2026-10-20 08:19:44
2
CHABUNU :
kwa ufupi hakuna swahaba aliyekwenda kwenye kaburi la swahaba aliyekufa akaomba kupitiya yeye aliyekufa hufai kumuomba Allah kupitiya yeye ila aliyekuwa hai unaweza kumuambia akuombe Dua lete dalili swahaba Gani aliyekwenda kuomba swahaba mwezake kwa kaburi kumuambia Allah kwa huyu aliyezikwa hapa nibariki ama nifunguliye riziki zangu hakuna swahaba aliyefanya
2026-10-20 03:51:32
0
Othuman Nguku :
niushilikina alibadili
2026-10-20 11:55:58
0
Mahmood :
afu wakuuu wamepanga swaffa vitabu vingiiiii
2026-10-24 07:23:24
1
chesen :
mazali mtume hayupo kila m2 atasema anavojuwa yey kila m2 atachambua v2 anavojua yey ndomn huw simfat mtu mm nafanya ninachoona hiki nafsi yngu inarizk huwez kuniibia mamilion ya pes alf eti nikasem namuachia mungu icho k2 kwngu sifanyi mzee
2026-10-20 20:05:05
2
Fally :
Mzee yupo sahihi
2026-10-21 11:06:42
1
atheist :
DINI ZA WAKOLONI NI CHANGAMOTO KILA SIKU NI KUBISHANA
2026-10-20 05:07:56
4
Yasini Mtali :
kwaiyo ahlu badri niqur an ama NI hadithi
2026-10-20 03:41:52
1
baroputin :
kupitia ndio ushirikina wenyewe maana wakiristo wanaomba mungu kupitia yesu hapo kakuna utofauti
2026-10-20 14:45:10
0
Kalinjuma Elias :
Uislam ni Ushirikina
2026-10-20 13:04:05
0
A-xoxoni,,,G.£ackdor :
kupitia watu wema kwa vile mungu awapenda nasi ataturidhiaaa
2026-10-20 10:37:03
3
ALI MWENYERWABE :
kweli kabisa
2026-10-20 14:19:41
1
To see more videos from user @nurudinikishk, please go to the Tikwm
homepage.