yeye mwenyew anasema yesu ameusika kweli Kila mtu atakili kwa wakati wake
2026-11-12 07:23:36
45
~Its gee>🩷🌸 :
Mungu mwenyewe anashangaa huyu nani tena 😂😂😂😂😂
2026-11-13 16:31:07
34
Roida :
ila Zumarudi Bhan 😂😂😂😂 Yesu tena
Hakika kila kinywa kitakili Kuwa YESU ni Mungu💃💃💃
2026-10-20 09:39:36
120
Official Fred Ndama :
Yesu Yupi Tena amehusika wakati Yeye ndio mungu??? au Mimi ndio nakompliketi mambo🤣🤣🤣💨
2026-11-14 13:33:22
7
Michael Dar Cromer :
me namtaka huyu , help please 🙏🏼
2026-11-13 16:53:38
0
Mayumiy Nishad🌺🌺 :
Mungu anatumia tiktok
2026-11-13 10:55:08
8
Lizzy :
mungu wa wehu huyooooo
2026-10-20 10:11:10
117
lizzy cutie :
Mungu wangu huna choyo unanyeshea mvua wema nawaovu ee Mungu mguse aijue kweli pamoja nawafuasi wake wape macho yakiroho nautambuzi siku moja wakurudie wewe 😭😭😭😭😭😭
2026-10-23 14:20:37
59
Manchudaa :
ila linajuaga kupendeza[Heartwarming]
2026-10-20 04:15:51
100
Miss dorrie🌸 :
Wabaruzie kabsa baba hao vibwengo mpk wakome😂😂
2026-10-20 04:34:52
33
Stellah calisto :
Baba yao nae ameolewa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 09:03:03
15
Nipher outfits :
mbona wanasema baba yao😳😳
2026-10-20 06:05:26
19
pendo :
ila MUNGU wa mbinguni ana huruma Sana Kuna wakati anatuangalia vituko vyetu anatushangaa tu😂😂
2026-10-21 13:57:25
35
SULEIMANI SULE :
ringa baba yetu,,,Umembeba MUNGU Muumba
2026-10-19 20:20:05
23
dawansy :
kikubwa yesu amehusika angalau umejua hilo inatosha
2026-10-20 07:15:38
54
NASHONI 0624186723 :
🤣🤣🤣🤣🤣anachekesha kama siyo ndugu yako
2026-10-29 14:55:46
10
@lights :
😂😂🤣🤣🤣watu wa comment mnanichekesha jaman
2026-10-20 14:57:36
9
Rachel John :
ila huyu mwanadam 🙌🙌🙌Mungu ww unatujua ipasavyo mioyo yet unaijua vyema🙏 tusamehe baba yetu kila itwapo leo 🙏
2026-10-21 09:39:01
8
Kalinjuma Elias :
MACHONI NI FURAHA
MOYONI NI MAOMBOLEZO .
2026-10-20 15:19:55
5
Ibrahimu Gidawe :
Yesu Kristo asifiwe
2026-10-20 03:34:04
8
m.s.lindaa :
DIANA BUNDAL MAMBO MWAYAAAAAA 🥰
2026-10-20 11:08:25
6
@C'penka :
Angalau Leo Yesu ametukuzwa Kwa huyu mtu
2026-10-20 03:57:18
5
DlaminiMfecane :
Msinirudishe gapa
2026-10-20 06:47:09
5
Suzan Simon :
Tunajivunia Baba etu hongera baba umependeza
2026-10-20 01:06:53
4
To see more videos from user @mfalme.zumaridi.of, please go to the Tikwm
homepage.