@hmahalu:

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 20:20:47 GMT
4036
421
80
6

Music

Download

Comments

7alaalaalahnamalume
(07)cod£[(hakika na mungu tu. :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰100%iyooo respect first one
2026-10-20 14:38:36
0
morning.star6116
MORNING STAR⭐⭐⭐ :
Nikitokea tu All eyes on me
2026-10-20 06:59:35
0
hmahalu
MamaTJ :
Tunaishi tunavyotaka na hatujari yaan ,Hata kama hatuna kitu sie tunaona tunavyo ,Mtu anakuzidi ila anakutamani wewe usiyennachooooo !chosen one wewe una Damu ya UKUU .
2026-10-19 20:26:38
16
ochibestke
ochibestke :
genz / millenial
2026-10-20 08:14:49
1
user8881096639129
Mary3 :
Yaaaan hapo pa kuangaliwaaaaa Sasa wanaita Boss,kiongozi,tajiri hata sh 1000 Sina mfukoni
2026-10-20 06:23:17
8
yaseenkezzo615
Yaseen🇹🇿🔑🗝️🔑🗝️🔑ZLE :
Nguo chache mwonekano mwigi hila sisi
2026-10-20 12:59:32
1
call.me.c26
Call me C 👑 :
Ongezea hapo tuna damu ya nguo vibaya mno 😂 Tunavaa balaa hata tukiwa hatuna kitu huwezi gundua 😂🔥
2026-10-20 06:11:47
5
totolakimanyema5
Manyema Movies Empire :
Chosen one ana uwezo mkubwa haangalii we ni tajiri tunajikuta ss ndo SS Kuna mda tunawazaga kwa mfano kwenye maisha ikatokea upewe fursa uchague maisha uwe kama nani tutachagua tuwe sisi hatutamani mtu mwingine sisi ni sisi
2026-10-20 05:18:46
5
nabeelyhoumudy
nabeelyhoumudy :
wengine wanatuona tunaringa
2026-10-19 21:44:22
4
saidi.msangi4
Saidi Msangi :
Wanyamwezi fulan hv tupo kama hatupo
2026-10-20 08:38:38
1
fatmahassan8858
Fetty🥰 :
kabisaa cjui kwann wakat tunapitia magumu sana😁
2026-10-19 21:33:04
1
broofile
filemonimmbaga :
😅 watoto wa dada zangu wananiambia wakiwa wakubwa wanataka waishi kama mimi
2026-10-20 04:48:57
1
rosezegega
ROSEZEGEGA :
watu wanatuiga wanavutiwa na maisha yetu 😁😁
2026-10-20 08:33:12
0
mirynjeru
Miry njeru :
hehhe sure
2026-10-20 12:22:06
0
investor9110
cady101 :
Utawakeraaaaaa na watatushtukia!!!!!!!
2026-10-20 09:59:49
0
user9182458327263
Deejah :
me kutwa naitwa mtoto wakt ni mama na watt
2026-10-20 12:26:34
1
user10471840869587
my israel :
🥰🥰
2026-10-20 12:20:02
0
blandydreadlocks
blandydreadlocks :
Hatujapoa 🥰😁
2026-10-20 11:39:03
0
fatxi677
Faith Imani Fei :
Mimi nikipita mahali watu wananiangalia na kuongea kisa mavazi yangu wengine wananiuliza ulinunua pesa ngapi Hadi nashinwa na si eti Niko sawa vile bado napambana🤔
2026-10-20 08:06:48
0
mimi_mammy
mimi_mammy :
Sanaaaa mimi wananitanigi wakati unakuta sina hata mia mfukoni 🤣
2026-10-20 09:08:26
0
abdulrahman_bigtymer
@lone wolf :
Niliona mama flani akiniangalia kwa wa nusu saa nikamuuliza unaangalia nini?
2026-10-20 15:00:08
0
mimi_mammy
mimi_mammy :
Yaani ukweli mtupu kipenz😂
2026-10-20 09:09:01
0
agnesmasanja331
Agnes Masanja :
ndiyo Dada angu ubarikiwe hakika umenena nakupenda Sanaa Dada
2026-10-20 09:14:42
0
mr275175kigoma
natalia lyimo :
kbsaaa😂😂
2026-10-20 09:52:05
0
tpr661
Tpr6 :
😂😂😂👌
2026-10-19 22:05:56
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About