@hubofwisdom.inc: ❤️ Ndoa imara hujengwa kwa upendo, kujali na kila mmoja kujitahidi kutimiziana mahitaji ya mwingine kihisia na kimwili Pastor Rose Shaboka anatoa wito kwa wanawake kutambua umuhimu wa kuwajali waume zao na kutimiza mahitaji yao ya msingi, ikiwemo ukaribu wa kimapenzi, kama sehemu ya kujenga na kudumisha ndoa zenye upendo na maelewano. 💬 Je, unadhani kutimiziana mahitaji kama haya kuna nafasi gani katika kudumisha ndoa yenye furaha? Angalia kupitia H.W TV kwa njia ya YouTube, kisha tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ------ Welcome to the Home of Positive Vibes! #HubOfWisdom #Ndoa #Mahusiano #MarriageTalks #PositiveVibes

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 20:36:11 GMT
2033
107
0
13

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About