@atuganilemwakosya: Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile ATUMA SALAMU Kwa Paschal Cassian asema ndio Asili yake na ndivyo yuko hivyo siku zote ? Tuandikie maoni yako hapa chini 👇✍️

ATUMEDIA GOSPEL TV
ATUMEDIA GOSPEL TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 21:26:22 GMT
76141
2223
237
147

Music

Download

Comments

new_ds_nightclub
NEW DS NIGHT CLUB :
nyimbo hyo
2026-10-20 09:01:57
0
user146079559786
user146079559786 :
Duuuh my God😭😭😭😭😭😭
2026-10-20 11:42:38
0
therealwoman4
therealWoman@ :
sio yeye.msituchanganyee
2026-10-20 05:03:44
6
kidtemboh
Ticious Tembo :
sio yeye jaman akaunt yake imehakiwa
2026-10-20 07:12:22
4
agnesmsemo741
gracemwasu :
Yani sijui watu wanachoshangaa ni nini.....asili ya mwanadamu ni kubadilika kama kinyonga ...asiyebadilika ni Mungu peke yake
2026-10-20 04:49:23
18
eliasi.donald
Eliasi Donald :
je maandiko yanasemaje kuhusu. mwenzio akia guka dhambini? siyo kufurahia anguko lake ni huzuni kubwa kwa wateule na kuchukuwa jukumu la kumuombea na kumfichia aibu hii na siyo kumuanika jmn? tupendane hata kama mwenzetu amekengeuka, mbna wapagani hushikana mikono kumsaidia mwenzao je cc walokole? tumuachie Mungu amsaidie.
2026-10-20 01:15:48
25
gospel.singer08
gospel singer :
mungu tufungue macho ya kiroho,, imeniuma mambo ya pascal cassian 😭😭😭😭
2026-10-20 12:09:09
1
glorybalabala
Glory Balabala :
inauma sana leo sijalala naria kwajir ya mtumish wa mugu amekutwa na nini
2026-10-20 06:17:57
9
aishapetronilla
عائشة 23 :
mimi ctaki kuamini jaman
2026-10-20 03:43:57
6
user3607520223831
happy mushi098 :
Jamani sio Pascal kweli hiyo ni AI
2026-10-20 04:25:42
6
user3424734194979
Aneth :
Natamani hii iwe ni ndoto jamani
2026-10-20 08:55:09
4
sophie62393
sophie🌹 :
Anaeongea sio yy ila kwenye picha niyy
2026-10-20 07:52:44
1
user6183222459625
Mom two kids🥰🥰 :
mtu ilike comment yangu baadae nirudi maana naona kama naota ni pascal kweli huyu
2026-10-20 03:53:46
11
user2600811663779
Champion girl 😘 :
Ila mi nimeumia sana jmn, 😭
2026-10-20 02:31:39
11
mrhuruma
Mr huruma :
ni Ai
2026-10-19 23:53:30
1
upendomwambapa0
upendomwambapa0 :
naamin sio yeye mbona haonekan vzr
2026-10-20 03:29:17
4
dr.ester1
Dr ESTER :
mithal 24:16 Paschal ni mtumishi wa Mungu. Yesu simama juu ya mtumishi wako fanya kama kwa Musa naomba umwokoe kama kwa moto huyo ni mtoto wako😭😭😭🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🙏
2026-10-20 11:35:43
1
1234isaya6
@1234isaya :
me alivyotoa ile nyimbo ya kidunia nikafuta nyimbo zake zote
2026-10-20 12:13:53
0
jesca.rwegoshola
jesca rwegoshola :
Alikuwa rafiki yako saaana mbona
2026-10-20 11:36:24
1
rashidyyusufumwam
Rashidy Yusufu mwambusi :
kwaatua hiyo yote namwachia mungu Sina vita namtu Niko bize kumtafuta mungu Ili nikaingie kwenye malango yambingun ila mungu t amlehemu wanadamu kunamambo yanatushinda na hili tumwachie mungu
2026-10-20 10:37:54
2
user4135035141206
happy wambi :
watu wanasemaga mtu kabadilika huwa hawabadilik ila.anakua ndio asil yake
2026-10-20 04:00:56
3
allchemi_company_ltd
Allchemi :
nimehisi mwili kuishiwa nguvu
2026-10-20 11:09:13
1
fridaphares
fridafares :
Kwann Alikuwa Anawatukana watumishi wa MUNGU
2026-10-20 12:01:19
1
user9032086888720
denis aminadabu :
pole sana mtumishi wangu
2026-10-20 13:22:34
1
ndbxbxjxmd
♡...|...♡ :
hizo ni real videos💯%
2026-10-20 06:18:21
3
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About