@indahfadli19:

indah_fadlii
indah_fadlii
Open In TikTok:
Region: ID
Monday 19 October 2026 21:41:46 GMT
34
3
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @indahfadli19, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐉𝐀𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐔𝐄𝐌𝐁𝐄. 𝐌𝐚𝐣𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐞𝐦𝐛𝐞 𝐧𝐢 𝐝𝐚𝐰𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢 𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐭𝐮𝐦𝐢𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐝𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐦𝐫𝐞𝐟𝐮. ✅ Husaidia kudhibiti sukari ya damu ✅ Husafisha figo ✅ Hupunguza presha ya damu ✅ Huimarisha kinga ya mwili ✅ Huboresha mmeng’enyo wa chakula ✅ Hupunguza mafuta mabaya mwilini 𝐌𝐀𝐓𝐀𝐘𝐀𝐑𝐈𝐒𝐇𝐎: 🍯 Chemsha majani 7 au zaidi kwenye lita 1 au zaidi ya maji kwa dakika 10 hadi 15, chuja alafu kunywa 𝐊𝐈𝐏𝐈𝐌𝐎: ☕ Kikombe 1 asubuhi + kikombe 1 jioni ❌ 𝑼𝒔𝒊𝒗𝒖𝒌𝒆 𝒗𝒊𝒌𝒐𝒎𝒃𝒆 𝟐 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈: ✅ 𝐊𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐥𝐢: siku 𝟕 hadi 𝟏𝟒 ✅ 𝐒𝐮𝐤𝐚𝐫𝐢/𝐏𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚: siku 𝟏𝟒 hadi 𝟐𝟏, kisha 𝐩𝐮𝐦𝐳𝐢𝐤𝐚 𝐰𝐢𝐤𝐢 𝟏 ✅ 𝐊𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐥𝐢: mara 𝟐 hadi 𝟑 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐢𝐤𝐢 ❌ 𝑈𝑠𝑖𝑡𝑢𝑚𝑖𝑒 𝑧𝑎𝑖𝑑𝑖 𝑦𝑎 𝑠𝑖𝑘𝑢 𝟐𝟏 𝑏𝑖𝑙𝑎 𝑚𝑎𝑝𝑢𝑚𝑧𝑖𝑘𝑜 𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈 𝐌𝐔𝐇𝐈𝐌𝐔: ✅ Wajawazito au wanaonyonyesha: 𝐰𝐚𝐬𝐢𝐭𝐮𝐦𝐢𝐞 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 ✅ Watu wanaotumia dawa za hospitali (hasa za sukari/presha): 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐢𝐟𝐮 ✅ Ukiona kizunguzungu, maumivu ya tumbo au udhaifu (𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢) 𝑫𝒂𝒘𝒂 𝒂𝒔𝒊𝒍𝒊, 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒕𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒉𝒆𝒌𝒊𝒎𝒂. 𝐌𝐈𝐓𝐈 𝐍𝐈 𝐃𝐀𝐖𝐀, 𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐍𝐈 𝐔𝐓𝐀𝐉𝐈𝐑𝐈.

About