HATUA YA KWANZA
Roweka Kuku Katฤฑka Maji
yenye- chumvi
- Ndimu
- Karafu
- Bay leave
Hi hatua husaidia kuku
Kubak laini na mwenye ladha-
HรTUA YA PILI
chukua .mafuta
- Ndimu
- Rangi ya chakula (nyekundu)
โข Changanya pamoja weka katika kuku mpakaze kila sehem aingie ndimu
HATUA YA TรTU
- changanya viungo vyako katiks
bakulฤฑ kama vifuatavyi
- pilipili kฤฑasฤฑ' chako
- Paste ya tangawฤฑzฤฑ na
vitungu swaum
- Chicken masala
- Kotmir ( Dania)
โข Changanya kisha mpake kuku
wako kila sehemu kisha muache masa mawili au upendavyo ili aingie viungo (marrinatiion) halafu mchome katika oven moto wa 150 akivaa mtoee kisha kula na kitu ukipendacho