bro ukipata nafasi soma kitabu kinaitwa Dancing in the Glory of Monsters cha Jason Stearns 😔 Peacekeeping za UN huwa ni kama Circus 🎪 Jeshi la TZ linauwezo wa kumaliza kila vitu ndani ya wiki, waulize Comoro ☺️ila hapo ukionesha jitihada wanakupunguza makali
2026-10-20 16:11:31
29
Prosper, JN ✅️ :
UN Charter:
Chapter IV na V zinazungumzia structure ya Mkutano mkuu na Baraza la usalama la UN.
Wakati Chapter VI na VII ndo zinazungumzia rules of engagement (ROE). Chapter VI imezuia matumizi ya nguvu (silaha) na chapter VII imeruhusu matumizi ya nguvu.
Baraza la usalama la UN lina wajumbe wa kudumu watano (P5) wenye kura ya turufu (veto) kwenye masuala yote ya msingi (substantive matters) kama kuamua chapter VI na Chapter VII[Big LOL][Big LOL]
Ushapata majibu?
2026-10-20 06:33:31
9
mosesmwanyika :
apo mkuu labda nikujibu familia kwa ufupi kuna washirika ndani ya serekali ya congo inayowasapoti waasi na pia UN inashirikiana na ..........
2026-10-21 02:59:41
4
user9091799307129Mzalendo tz :
Huwa una story nzuri tatizo huwa huongei siriuos yani usivute sana maneno unachosha sasa
2026-10-20 09:27:42
9
niwa_outfits :
alie aribu nchi ni Mobutu tu akuna mwingine
2026-10-20 07:44:32
13
Francis Kahoko :
Unahistoria nzuri sana na ya ukweli kabisa
2026-10-20 07:00:09
6
Elisha Mwakipiti :
vita ya Congo ipo kimaslahi ya watu na haiwezi kuisha,, waasi wanapata wapi Silaha, chakula,matibabu
2026-10-20 10:05:37
7
Shax_viatu_kariakoo :
Lete story ya lumumba
2026-10-20 07:17:23
4
Eric Mugele :
Wacongoman wanalia wakisema kwa nn Mungu aliwapa utajiri wa rasilimali walizonazo,kiukweli unaona kilio chao kikieleza ukweli wa kinachoendelea kwenye kile kinachoitwa vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Ukiangalia mnyororo wa watu wanaojihusisha na kulinda amani,kusaidia kwenye nyanja ya usalama pale Congo ni watu wenye maslahi makubwa na rasilimali za Congo.
Vita inatumika kuondoka utulivu katikati ya kutoweka kwa utulivu ndipo utoroshaji mkubwa wa rasilimali unapofanyika,imagine Tanzania kulivyo na utulivu lakini kiasi cha madini huwa tunasikia kimekamatwa kikitaka kutoroshwa?
Vita ya Congo ni kuhakikisha hakuna utulivu wakubwa waendelee kuchota mali....
2026-10-20 06:09:34
9
Rajab Nassib :
one love bloo
2026-10-20 04:45:20
7
✨ Trippier ✨ :
we jamaa ukielezea Hadi rahaa 🙌🏾
2026-10-20 05:22:18
5
Kelvin Mathew :
hiyo 2013
2026-10-20 04:40:57
5
toxic boy captain 💀💀 🪖 :
nakubali mzee umelezea kwa ufasaha
2026-10-20 05:01:56
4
Alfa.. :
kweli kaka
2026-10-20 05:59:52
6
💫💥 ⭐ Jimmy-Tz✨🌟 :
💎 💯 🔥
2026-10-21 23:33:39
0
Seif Kabelele :
OK
2026-10-20 13:54:23
1
king :
uko vizuri
2026-10-20 08:14:28
3
jumaa :
Salut mwalimu 🙏🙏🥰🥰
2026-10-21 12:50:36
0
richardtarimo433 :
kuna watu wanabenefit kwa hiyo vita ya congo especially makampuni makubwa. ukionekana unak-h cha peacemaking lazima wakuzime
2026-10-22 13:53:41
0
Chuma G7 :
unajua mzee
2026-10-20 14:29:40
1
joel minani :
iyo 2013-14 Tanzania tulikua na luteni general J Mwakibolwa alitembeza kichapo kikali sana... na hii ni kwasababu Kenya Uganda Rwanda na Malawi walituchuza.... kipindi hiko Rwanda anaushawishi kwa nchi jirani.... J kikwete alikua na ugomvi na kagame.... kagame akaishawishi Malawi waibue mgogoro wa ziwa Nyasa... wakapeleka vikosi mpakani Rwanda hawakuamini macho Yao
2026-10-20 06:31:38
8
Daniel Nangonga :
uwepo wa m23 na makundi mengine ya waasi nchini DRC ni mkakati maalumu wa baadhi ya mataifa yaliyoendelea kwa sababu waasi wanapata wapi silaha zinapitia njia gani ikiwa afrika nchini nyingi hazitengenezi aina za silaha wanazotumia, si rahisi DRC ikatulia kwa sababu ni mgodi.
2026-10-20 05:02:17
6
j mafioxo26 :
katk dunia kuna watu ambao ndio wanapang nn kitokee duniani kama ni vita au magonjwa n.k kwa sababu ya maslah flan so ili kuwez kufikia maslah yao wanatumia majeshi ili kufanikisha mawazo yao,
hata jwtz ni wanapohitajika kwenda ni bas2 wanatuficha kuna mengi yapo,mi naiman wanatuhitaj kama [bonye] ila hawahitaj vita iishe pale.
2026-10-20 21:41:58
2
MARTINE :
bro leta muendelezi wa Ile ya Kibitiii
2026-10-20 12:14:29
2
IBRAHIM :
mkulima na madini
2026-10-20 15:57:06
1
To see more videos from user @farhankihamujr, please go to the Tikwm
homepage.