@vastv_: Siku chache baada ya Elon Musk kuzindua gari linalopaa angani la Tesla, China imejibu kwa kutengeneza gari linaloweza kutembea majini kama boti. Teknolojia hiyo mpya inatajwa kuongeza ushindani mkali kwenye soko la magari ya ajabu duniani. @vastv__ ⚡⚡⚡⚡⚡⚡ #vastv
VASTV
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 04:34:04 GMT
Music
Download
Comments
doctor black :
one man vs the whole national
2026-10-20 16:48:44
0
MidnightTheory☻️ :
mnatuchangany tupae au tuongelee[Thinking][Thinking]
2026-10-21 10:05:21
17
MOJA :
mtu anashindana na nchi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-20 09:47:19
0
♤☆Atha @J²King🌟☆♧ :
tutashuhudia mengi wallah [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 15:02:25
0
KING YASSIN👑 :
kwahyo ni dar to Zanzibar 😂😂
2026-10-20 07:19:12
218
luxuryhousedesign :
mbona wamevaa life Jacket?
2026-10-20 06:19:29
50
miss_anglophile✨ :
it's sinking bro
2026-10-20 17:10:42
0
The one n only 🤗 :
Tanzania tume baki na nyungo zetuu😁😁
2026-10-21 10:52:40
3
Lina baby shoop 👗🛍 :
nasubili linalo kimbia na miguu
2026-10-20 07:30:44
62
Mr Genius..x9 :
lakin wamevaa suit jackets wasizame sioh mabiyo kunakufeell
2026-10-20 15:59:37
1
_"𝑴𝑼𝑹𝑹𝑨..🔥✌️✌️ :
hadi majini wameletewa magari
2026-10-20 21:30:57
3
smile_dropper :
Me mpaka watoe lisiloonekana na traffic nd ntanunua 😌
2026-10-20 19:21:07
8
khalfashion :
ilo lita tufaa kwenye elimino
2026-10-20 07:44:14
12
Sarh🩷🌸🦋 :
Aweee ilo sipandi 😂😂
2026-10-20 07:28:14
7
JIKO LA BIASHARA :
Nina project ya gari lisiloonekana yani mgogoro na traffic basi tena
2026-10-20 13:53:46
5
kãrimu adøph :
Why to gate life jackets
2026-10-20 15:03:06
0
salma :
ahhh tanzania tufanye tulete za ges sasa✋😮💨🤚
2026-10-21 08:14:47
1
🔥🔥🔥💯💯 :
JAMANI🤣🤣🤣🤣 HII CLIP YA MDA JAMAA ANATUPAPANGA NIMEWASANUA
2026-10-20 16:57:03
3
FraydosExtrem :
China wenyewe hawajiamin. wamevaa life jacket sababu wanajua wanasifika kutoa vitu fake.🤣🤣🤣
2026-10-20 15:42:10
2
Brown eyes 🍀☘️🪽🪽 :
free elninyoo nipo tayali kwamapokezi. kwani cinnaweza kuuoda kwa mkopo nice nnalipia kidogo kidogo 😁😁
2026-10-20 15:42:32
3
Double D💢💢 :
BONGO SI TUNA KITUO CHA UTALII KARIAKOO ALL GUEST WELCOME
2026-10-20 08:23:43
4
braytonnorobeth1 :
Wimbo 1 tu gari linazama
2026-10-20 08:31:39
4
Herbert Msangawale :
musk advanced level of target
2026-10-20 06:44:12
2
🪖CHAS£R💭🦅 :
Tanzania tutazindua magari yenye nguzo za umeme 🤝
2026-10-20 10:02:48
2
Best Ladyy🌸🌸 :
kiotoneta je kipo sawa apo😅😅 nauliza nisije toa Hala za Bure wakuu
2026-10-20 07:49:40
2
To see more videos from user @vastv_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.